Search results

  1. C

    Mungu baba bariki siku hii ya leo nimpate yule ulieandaa kwa ajili yangu (mume)

    Habari za jioni ladies and gentlemen poleni na mihangaiko ya siku nzima. Kuna dada leo ameleta mrejesho na amenitia moyo aliposema tangu 2013 alikua akitafuta ila amekuja kufanikiwa mwaka huu hii imenitia moyo sana na kuona kumbe inawezekana. Last year nilikuja na uzi wa kutafuta mwenza ila...
  2. C

    Looking for gentleman

    Hello, Naamini mwenza anaweza patikana popote na humu pia naamini wapo walio serious na uhitaji wa kweli. Mimi ni msichana, umri wangu 27, mkristo na black in colour Kama Mungu atapenda natamani nimpate a serious man, umri kuanzia 29-36,awe mkristo, na mwenye nia ya dhati ya mahusiano...
Back
Top Bottom