Looking for gentleman

Christinaa

Member
Jul 16, 2016
26
74
Hello,

Naamini mwenza anaweza patikana popote na humu pia naamini wapo walio serious na uhitaji wa kweli.

Mimi ni msichana, umri wangu 27, mkristo na black in colour

Kama Mungu atapenda natamani nimpate a serious man, umri kuanzia 29-36,awe mkristo, na mwenye nia ya dhati ya mahusiano.

Kama tutamatch mambo mengine tutafahamishana.
 
Hello..!

Naamini mwenza anaweza patikana popote na humu pia naamini wapo walio serious na uhitaji wa kweli....

Mm ni msichana, umri wangu 27, mkristo na black in colour

Kama Mungu atapenda natamani nimpate a serious man, umri kuanzia 29-36,awe mkristo, na mwenye nia ya dhati ya mahusiano

Kama tutamatch mambo mengine tutafahamishana

I'm your perfect match baby doll.
 
Hello..!

Naamini mwenza anaweza patikana popote na humu pia naamini wapo walio serious na uhitaji wa kweli....

Mm ni msichana, umri wangu 27, mkristo na black in colour

Kama Mungu atapenda natamani nimpate a serious man, umri kuanzia 29-36,awe mkristo, na mwenye nia ya dhati ya mahusiano

Kama tutamatch mambo mengine tutafahamishana

Karibu...natafuta mchumba!
 
I'm just 28 yrs old, naweza pewa favour ya kukaa pembeni yako nd hold your hand lovely as we talk?
 
Hello..!

Naamini mwenza anaweza patikana popote na humu pia naamini wapo walio serious na uhitaji wa kweli....

Mm ni msichana, umri wangu 27, mkristo na black in colour

Kama Mungu atapenda natamani nimpate a serious man, umri kuanzia 29-36,awe mkristo, na mwenye nia ya dhati ya mahusiano

Kama tutamatch mambo mengine tutafahamishana
Weka namba nkucheki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom