Search results

  1. N

    Mambo ya kuzingatia ukitaka kuanzisha biashara ya vipodozi.

    Wapendwa salaam Naomba msaada wa kujua mambo muhimu ya kuzingatia unapotaka kuanzisha biashara ya vipodozi hasa kujua kama kipodozi husika no feki au original na maduka yanayouza kwa jumla
  2. N

    Hawa wanaotupigia simu wakitaka kututapeli wanapata wapi namba zetu?

    Wapendwa habari KUNA tabia ya watu kukupigia SIMU na kujifanya wamepata jina lako toka mamlaka fulani mfano jamaa anapiga simu anasema yupo baraza la mitihani tanzania amepokea orodha ya watumishi anakuambia jina lako limo hivyo kuna taarifa zako zinatakiwa na utumishi haraka hivyo ili...
  3. N

    Kuagiza Noah kutoka nje na kununua hapa ipi nafuu?

    Wakuu Salaam Naomba kuuliza hivi kununua gari Toyota Noah kwenye yad za hapahapa tz au kuagiza toka nje kupitia makampuni husika yanafahamika makampuni nisiyataje ipi ni nafuu?? Yaani bei na ubora Asanteni
  4. N

    Natafuta kazi ya laboratory attendant

    Salaam. Mimi ni kijana niliyehitimu chuo cha ufundi sanifu maabara St Peter Iringa kwa ngazi ya cheti kwasasa natafuta kazi kama Kuna nafasi waweza nipa taarifa asante.
  5. N

    Je ni nafuu kuagiza gari moja kwa moja kutoka Japan au kununua hapahapa

    Nawasalimu wote humu ndani Naomba msaada wa mawazo /ushauri lipi bora kuagiza gari moja kwa moja toka Japan kwa kutumia makampuni yanayofanya shughuli hizo au kwenda direct show room za hapa hapa Dar es Salaam? Mfano unataka toyota noah super extra limo old model ya 1999? Niwatakie ushauri mwema
  6. N

    Anayejua viwango vipya vya mshahara atujuze

    Habari zenu wapendwa hivi Kuna mwenye kujua new government salary scale zitakazo anza kutumika mwezi wa saba atujuze? Niwatakie kazi njema
Back
Top Bottom