Search results

  1. G

    Prof. Muhongo kama ni speed basi anatumia mtandao wa 4G

    Lazima afanyue kazi kwa bidii toka mwanzo ili kuweza kuwathibitishia watanzania kuwa kashfa ya ESCROW ilimdondokea tu hakuhusika.
  2. G

    Taarifa ya Bakhresa Group kuhusiana na Upotevu wa Makontena

    Kwa matazamo wangu, mtoa mada kawahi mno kutoa taarifa hasa pale tunapotambua kuwa uchunguzi unaendelea kufanyika. Wao kama sehemu ya wahusika katika sakata hili hawana sababu hata kidogo kuja kwa wananchi wanataka kujisafisha. Tusubiri wasafishwe na tume inayoendelea na uchunguzi. Mbivu na...
  3. G

    Iringa - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Nipo maeneo ya Kihesa, udadi ya watu ni kubwa mno ila sifurahishwi na spid ya upigaji. Watu wanachukua muda mrefu, sijajua tatizo ninini, kwa namna watu walivyo wengi kuna hatari ya wengine kukosa kuitumia haki yao. "BVR itupeleke kwenye electronic voting"
  4. G

    Baba askofu Kilaini akiri kupokea milioni 80.5

    Mimi binafsi ninamtazamo kwamba, kabla ya kusema mkosaji ni nani, kuna haja yakujiridhisha juu ya tofauti kubwa inayojitokeza katika ripoti ya PAC na ile ya Serikali (Utetezi kama ilivyotolewa na Prof. Mhongo). Ningetamani sana haki ikatendeka kwa kila aliyehusika na kama kuna mwizi anaonekana...
  5. G

    Kwa hili msigwa amepoteza sifa za uongozi!! Someni fb anavyowatukana watu wanaompinga

    ... Mimi nimiongoni mwa walio pata fursa ya husikiliza kipindi kilichorushwa na radio moja ya Iringa juu ya mada hii. Mchungaji Msigwa alionyesha msimamo wake ambao kimsingi uli-unga mkono maamuzi ya kamati kuu ya CDM, ninachokiona kwa mwanzilishi wa mada hii yeye haungi mkono maamuzi...
  6. G

    Hongera CCM mpya na Halisi kwa Ushindi Mzito; ni salaam tosha kwa Chadema na Mafisadi

    Wasomaji, Hakika takwimu hizo zinahitajika sana kwetu sisi wasomaji. Ningetamani tungepata orodha ya kata mabazo kulikuwa na uchaguzi wa madiwani, katika hayo tujue chama kipi kilikuwa kinashikilia udiwani wa kata hiyo kabla ya uchaguzi. Zaidi ya ya hapo taarifa za kuwa kata hiyo ipo mjini au...
  7. G

    Thomas Nyimbo, ajitoa CHADEMA!

    Wasomaji, Kuna wakati mambo yanapotokea yanatupa wakati mzuri wa kujifunza. Napata kujifunza kuwa Mzee wangu nyimbo hana msimamo na wala kusema kuwa yeye amezaliwa kuwa kiongozi silioni hilo kwake. Ningefurahi sana kusikia jitihada zake alizo zifanya kuona kama kweli kuna matatizo ndani ya CDM...
  8. G

    TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

    Hallow, Nami nimesikitishwa sana na taarifa za msiba wa mwandishi maarufu wa Channel Ten Ndg yangu na rafiki yandu Daudi Mwangosi ambaye nilikuwa naye mpaka alfajiri ya jana akionekana ni mtu mwenye furaha sana. Najaribu kutafakari haki itatendekaje katika kuchunguza chanzo cha kifo cha...
  9. G

    Eng Stella Manyanya: CHADEMA Wanahusika na mgomo wa madaktari; amfananisha Ulimboka na Hitler

    Hi wote, Mimi kinacho niuma ni pale ambapo bunge linaacha sababu ya kilichowapeleka Dodoma wanaendeshwa na matukio. Mwisho wasiku bajeti mbovu inapita
  10. G

    Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    SUluhisho ni uwajibikaji, Waziri Mkuu anapaswa kuwawajibisha walio chini yake. Ikishindikana, achukue jukumu la kukubali kushindwa "AJIUZULU"
  11. G

    Pendekezo: Prof. Lipumba awe mgombea wa upinzani Igunga

    Hallow, Napata ugumu kidogo kuamini kuwa Kubenea anaachana na uana harakati aende Bungeni. Alikuwa kioo cha jamii na changamoto ya mabadiliko. Ingekuwa ni mapenzi yangu, ningetamani abaki kuendelea kuwasha taa ambazo waandishi wengine walishindwa kustahimili kushika kiberiti chake kwani...
  12. G

    SAKATA LA DOWANS: Hivi Ajenda Hasa ni Nini?

    Kwa tafakari ya kawaida kabisa, huu ni mpango wa kuwasafisha wale ambao walichafuka katika sakata la ununuzi wa mitambo ya richmond ambayo dowans walirithi. Kilichopo sasa nikutafuta namna ambayo hiyo mitambo itachukuliwa na serikali kwa blanketi la kupunguza makari ya umeme ambayo wametangaza...
Back
Top Bottom