Search results

  1. T

    Lema, Lissu na Nassari washambulia Arusha leo

    kWA MJIBU WA KATIBA TULIYONAYO NIKWAMBA IBARA YA NANE INASEMA KAZI YA SERIKALI ITAKUWA NIKULINDA USITAWI WA JAMII.TAFTA MAANA YAKE.CDM KAZI YAKE KUU NIKUHAHAKKSHA INAKAMATA DOLA,CCM NA SERTIKALI YAKE ISIP[OLINDA USTAWI WAWANANCHI UKOMBOZI WA CDM UTAONESHA NAMNA YA MWANANCHI...
  2. T

    Kikwete ndiye Rais wa maendeleo Tanzania

    hivi vijana mbona hamtaki kuelewa hata mkipelekwa darasani, kwa mtu anayefikiria hivi bila shaka anafaida kubwa na utawala wa kikwete, kama babaye si kiongozi mkubwa ndani ya serikali hii bas mamaye atakuwa fisadi mkubwa. Leo hii mtu anayesifia utawala wa kikwete ni lazima anakuwa na maslahi...
  3. T

    Dream Team: Sitta, Magufuli, Mwakyembe na Urais wa 2015

    Tatizo la CCM ujue si sura za watu, bali ni mfumo mzima unaotokana na mizizi mibovu iliyozaa matunda mabaya; hao uliowataja ni wazuri kisura, lakini hata Kikwete alikuwa hivo kabla ya 2005 lakini kwasababu ya mfumo mbaya wa CCM ndo maana anabolonga: CDM nichama kilicho na mizizi mizuri isiyoweza...
  4. T

    Maandamano ya CCM Singida Thibitisho la Kifo Chake

    Hilo si hoja tatizo lenu hamuangalii taarifa za habari, jana ungeangalia ITV CCM waliandamana kumuunga mkono mwenyekiti wao kwa suala la kuvua gamba, huko Kahama; sasa wewe unabisha nini; kwataarifa yako ni kwamba asilimia 99 walikuwa vikongwe na wazee; waongeaji walikuwa wanashindwa hata...
  5. T

    Watanzania Wameanza kumuelewa Dr Slaa na Siasa za Kukurupuka

    Nakubaliana na wewe muheshimiwa; watu wanaomuongelea Dr wa ukweli wanashindwa kutambua kuwa wanafanya dhambi kubwa sana na malipo yao yanakaribia kwani chama wanachokipigania kinaelekea kufa kisiasa. poleni sana wanasisiemu.
  6. T

    Mwl. Nyerere alisema kama mnampenda Kikwete kanyweni naye chai - Sasa tunayaona!!

    Truth is one and only one; Mwalimu hakusema hilo tu bali aliongezea kuwa IKULU ikingiliwa na J.K pamoja na Rafiki wake Lowassa itakuwa hatari. Ni kwasababu ya utajiri Aliokuwa nao Lowasa na mipango yao kutaka kwenda ikulu. Aliyoyakataa Nyerere ndo yanatuumbua leo.
  7. T

    Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

    Donnot be judgemental in thinking
  8. T

    Hiki ndicho alichosema Dr. Lwaitama

    DR Lwaitama alijibu mapigo yaliyotolewa na Rais, na viongozi wa chama cha mapinduzi, alisema mambo yafuatayo; CDM wana haki ya kutafuta na kuongeza wanachama kwa kuzunguka mikoani, haki hiyo ni ya kikatiba na vilevile ipo chini ya Sheria Ya Vyama vya Siasa. Na CCM kama inahitaji ifanye...
  9. T

    Kamanda MBOWE Vs Dr SLAA

    Do not be boring, you have failed to campare CCM leaders then you come to CDM, YOU are too hypocritic and blind of your own creation
  10. T

    Powers by the registrar of political parties to cancel the Political Party Registration

    We strongly need to question after revisiting the powers by registrar of political parties to cancel registration of the same political parties. This is far as yesterday political sentiments altered by Hon Tendwa of his issuance of notice to cancel CHADEMA registration basing on the allegation...
  11. T

    Rais kikwete haoni matatizo ya watanzania bali anapambana na chadema

    Wenzangu, ndugu wantanzania na wazalendo wa taifa letu, jana tumeskia vizuri na kwaumakini hotuba ya raisi wetu wa tanzania. kiuchambuzi ni kwamba unaweza kujiuliza maswali yafuatayo; 1. kwanini kwa mda wa miezi mitatu hakuwahi kutoa hotuba kwa wananchi?, kwa nini iwe jana 2. kwanini hotuba ya...
  12. T

    Chadema wampa Kikwete 'siku tisa'

    Nguvu ya umma ni hatari ktk uhai wa CCM, haiwezi kushindana wala kulinganishwa na nguvu ya Dowans
  13. T

    Chadema wampa Kikwete 'siku tisa'

    He is a good gentleman
  14. T

    Chadema wampa Kikwete 'siku tisa'

    Si, amekuwa ndani ya 6 kati ya sita wazuri kutoka mwisho mwa maraisi bora afrika, hii ni akili ndogo haikuhitaji kwenda shule
  15. T

    Chadema wampa Kikwete 'siku tisa'

    wAOGA KAMA NYINYI MLITAKIWA KUZALIWA MIAKA YA 1920, SASA HIVI MSINGEKUWEPO BILA SHAKA, KAMA UNAOGOPA KUUWAWA BASI BORA UJIUE MWENYEWE SABABU KWA HALI YA TAIFA LETU MAISHA HAYABEBEKI TENA, LABDA KAMA WEWE NI MTOTO WA DOWANS BASI UTAENDELEA KUPINGA KILA NJIA YA CDM
  16. T

    Wabunge wangapi wa CHADEMA hawakuhudhuria maandamano jana?

    Yule ambaye hukumuona ndiye hakuwepo, do not poison people with such polemic questions which are not worthwhile to us. Kama unajua kuona wabunge wa ccm kwenye kula na kunywa, hutaweza kuonna wabunge wa cdm.
  17. T

    Ccm na makamba, nao waandae waandae maandamano kupinga madhumuni ya maandamano yacdm

    9. Kuwa mabom yataendelea kulipuka, vifo vya wananchi vinatupunguzia shida 10. Rushwa ni sera kuntu ktk taifa 11. Ujinga ni chanzo cha maendereo
  18. T

    Mrejesho kuhusu Uwakilishi Wangu katika Mkutano wa pili wa Bunge

    Mrejesho wako mheshimiwa mbunge ni dhana nzuri inayoendana na uwajibikaji kwa wananchi, tunajivunia uwepo wako sisi kama wananchi japo si wananchi ktk jimbo lako. tungeomba wabunge wengine waige utaratibu wako. i give u big up. Huu ni wakati muafaka wa chama chetu Chadema kukaza kamba kwa...
  19. T

    Makinda kamtukana Jk na atamdhalilisha Pinda!!

    Anna makinda leo ktk bunge katupilia mbali madai ya TUNDU LISSU ya kutaka kanuni fulani ivunjwe ili kuruhusu bunge lijadili suala lililotokea Gongo la Mboto. Lakini kwa mshangao mkubwa mheshimiwa Spika wa bunge letu ametupilia mbali madai hayo akisema suala la gongo la mboto halina maslahi ya...
  20. T

    Dr. Hussein Mwinyi Must Resign/get fired for Gongo la Mboto armory Inferno

    Mda si mrefu niliandika kuhusu tukio la mbagala nikitaka wahusika waachie ngazi kwa sababu kimsingi serikali ilishindwa kudumisha ustawi wa jamii kama ibara ya nane ya katiba inavyohitaji ; Lengo kuu la serikali ni kudumisha ustawi wa jamii, swali la msingi lilikuwa ni je waziri wa mambo ya...
Back
Top Bottom