Search results

  1. Blaque

    Tanesco mwongozo wa gharama mpya ya kuunganisha huduma ya umeme kuanzia tar 5/1/2022

    Ukisoma vizuri wale wa vijijini wanaendelea kulipa ile ile 27k na ndio walengwa wa REA
  2. Blaque

    Rawan Dakik becomes first Tanzanian woman to climb Mt Everest

    Amesema mtanzania wa kike wa kwanza ndugu.
  3. Blaque

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Je TFF walikuwa sahihi?? Jibu langu litakuwa HAPANA. Sheria na taratibu ya kusogeza/kuhairisha mechi inasemaje?,ilibidi waishauri wizara husika katiba yao inasemaje
  4. Blaque

    Nimeshindwa kuelewa formula ya mahesabu ya mikopo ya benki hii

    Angalia kikokotoo chini ndani ya miaka 2 utalipa (plus riba)11,866,143
  5. Blaque

    TCRA watoa utaratibu wa kuzima laini za simu

    Mimi ninachojua wageni wanapewa vitambulisho Lakini vinakuwa tofauti na raia wa Tz. kwenye uraia inawekwa uraia wake halisia anapotoka na pia Expire date inatokana na work permit yake kama May 2020 basi expire date itakuwa may 2020.
  6. Blaque

    Mahakama Kuu yatengua hukumu dhidi ya Joseph Mbilinyi (Mb)

    Duh Sheria si mchezo Haki ya mtu itapatikana hata kwa kucheleweshwa.
  7. Blaque

    Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

    Wajaribu kiongozi wapo vizuri Na gharama ni ileile utakayolipia hadi bidhaa inafika. Tanzania kuna mawakala wao kila mkoa
  8. Blaque

    Stanbic Bank Kupunguza wafanyakazi 200

    Private company inamilikiwa na wageni. si vizuri kwa hali ya sasa kuianika kwa mitandao.
  9. Blaque

    Stanbic Bank Kupunguza wafanyakazi 200

    Kumbuka baadhi ya walioachishwa wana mikopo mibichi . sidhani kama riba itashuka wakati makampuni mengi yanapunguza wafanyakazi na ndio wateja wa hayo Mabank.
  10. Blaque

    Stanbic Bank Kupunguza wafanyakazi 200

    Hatari saana kwetu pia imepita 100 wamepigwa chini na bado zoezi linaendelea . hali sio nzuri kwa kweli.....
  11. Blaque

    YANGA IMEIFUNGA GOLI 10-1 TIMU YA DARAJA GANI?

    Madereva wa bodaboda
  12. Blaque

    Shabiki wa Simba aliyetoka Mbeya hadi Dar kawasili

    Huyu jamaa anastahili pongezi. Mimi nimekutana naye maeneo ya Kingorwila tawi la Simba Na Mikumi ilieleweka alipewa msaada kuvushwa hadi Doma kwa usalama. Tumpongeze kwa kutimiza ndoto yake.
  13. Blaque

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wadau kuna nyimbo ya muda saana inaitwa Mariyana kama sikosei iliimbwa na Mtonga Jazz. kuna lugha ya kusini nafikiri
  14. Blaque

    Ni DJ gani unakubali/haukubali playlist yake iwe kwenye Redio au Club?

    Dj JD ni nouma hata Enzi za Radio EA alikimbiza saana.
  15. Blaque

    Hivi kwanini wasanii (mfano MC Pilipili) huuziwa magari bei juu kuliko watu wengine?

    Gharama zinatofautiana pls check attached Angalia tofauti katika hzo pdf mkuu
  16. Blaque

    Mh Rais Magufuli! Usikubali kuwakabidhi SIMBA SC Kombe!

    Ahahaaaaaaaaa-JPM Ni wa wote istoshe ameombwa na TFF sio SSC
Back
Top Bottom