Search results

  1. lukikoj

    Vifo vya viongozi vyenye utata

    :confused:
  2. lukikoj

    Kesi ya Lema: Nipo tayari kufukuzwa kazini lakini lazima niende mahakamani leo!

    Nenda tu ukifukuzwa kazi utakula kwa Lema! Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  3. lukikoj

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Arfi) atupa kadi kikaoni, atishia kujiondoa chamani!

    Utabiri wa Wasira utatimia soon! Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  4. lukikoj

    Nitalikumbuka jina hili

    naweza nikubali au nikatae shutuma nyingi zilizotolewa kwa jina hili, lakini kwa namna moja au nyingine sitolisahau jina hili "BENJAMINI WILLIAM MKAPA" he was the president real
  5. lukikoj

    Mgao wa umeme wa kufa mtu watangazwa, Juni 2011 na kuendelea

    Jamaa wametutangazia mgao umekwisha baada ya ku-service hivyo visima vyao kama walivyodai chakushangaza baadhi ya maeneo bado wanakata umeme kwa mfano huku kwetu mbezi juu juzi walikata saa 2 asbh mpaka saa 12 jioni, jana wamekata saa 12 jioni mpaka saa tano usiku. sasa watutangazie kama mgao...
  6. lukikoj

    Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

    Any way tufikirie mara mbili iweje upige kelele mshahara wa wabunge ni mkubwa sana alafu utake kulipwa hivyo kwenye chama? iweje upinge serikari kununua vitu chakavu lakini kwenyd chama iwe halali? kuna hoja ya msingi hapa! samahani kwa nitakao waudhi
  7. lukikoj

    mkuchika umelogwa?

    Jamani jamani mwenye uwezo wa kuwambia kagoda warudishe pesa si mkuchika yupo na mnamjua msimuonee mkuchika ingawa ni kweli magamba yanamuwasha
Back
Top Bottom