Search results

  1. fredymkanza

    Ni wapi nyanya zinapatikana kwa wingi?

    Wewe uko wapi
  2. fredymkanza

    Ndugu wa Aquilina Akwilini wakabidhi bajeti ya TZS 80m kwa Serikali shughuli ya mazishi

    Kodi imejumlishwa au ? Du! Mmepiga sana jamani hiyo ni kodi ya wananchi mjue Watani zangu wameamua wasikose vyote Wamepoteza mtoto , Wapige hela
  3. fredymkanza

    Manyara FM

    Ngoja naenda huko leo nitakupatia Ndugu
  4. fredymkanza

    Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

    Je tunaruhusiwa kuuliza maswali hapa?
  5. fredymkanza

    Nahitaji vibao vya Uvutaji wateja

    Subiri wanakuja
  6. fredymkanza

    Njia 6 za kutengeneza pesa kwenye biashara kupitia mitandao ya kijamii

    Du! Asante sana ukiona mtu ametoa muda wake kutoa mada nzuri namna hii hatuna mengi ya kusema ila Mungu akubariki. Watu wengine wanakuwa wachoyo na Elimu zao.
  7. fredymkanza

    Msaada wa dawa au namna ya kuondoa mvi

    Hebu nipe umri wako kwanza isije ikawa kilometer zimesogea unataka kuzirudisha ili uendelee kuwadanganya mabinti zetu
  8. fredymkanza

    Natengeneza na kuuza vitanda vya sofa kwa bei poa kabisa

    Hawa ndio wasomi wanahitajika sio hawa wa kutaka kukaa ofisini kingereza chenyewe hawajui
  9. fredymkanza

    Nini kinasababisha shilingi ya kenya kuwa na thamani kuliko Yen ya japan?

    Ngoja ingawa nikae vizuri ingawa hata kuelewa hili somo inataka Neema pia
  10. fredymkanza

    Msaada wa kisheria

    Baba hapa umefika subiri kidogo wadau watakuja
  11. fredymkanza

    MOSHI: Wanaume muepukeni huyu binti,analindwa na nyoka aina ya Cobra

    OK Nikusaidie tu Mkuu hilo ni swala la kiroho Zaidi kuna watu huwa wameingia maagano na hakuna Agano bila mkataba sasa huo mkataba wa ulinzi alioingia inawezekana hata hajui hicho wewe unachokiongelea Ni kwamba tu aliingia kwenye mahusiano na mtu akaamua kumfanyia hivyo kama kumtia nuksi Ila kwa...
  12. fredymkanza

    Diamond platnumz hamuwezi kumshusha kwa fitina na chuki..Ripoti kutoka Mtaani Tazama hapa mashabiki wa damu

    Nampenda sana Diamond ni kijana mdogo aliyejaliwa hekima nyingi nashangaa sana yanayoendelea mitandaoni Tatizo kubwa la watanzania wenzangu ni wivu
  13. fredymkanza

    Je, Wajua Rais wa JMT Hayuko Juu ya Katiba? Anaweza Kulazimishwa Kumtengua Makonda, Akigoma, Bunge Linamtegua Urais?

    Hivi unajua kuwa ukifahamu mambo mengi katkati ya wajinga wengi wewe ndio unageuka kichaa Viongozi watanzania wenyewe wanajua wanawaongoza wananchi asilimia tisini wajinga ndio maana inakuwa rahisi kwao kufanya wanavyotaka Leo hii ulichokiandika hapa hakuna anauwezo wa kukifanya pamoja na wewe...
Back
Top Bottom