Search results

  1. school boy wizzy

    Nimeamua niwaweke sawa leo katika mambo haya

    Baada ya kuona kuona mada mbalimbali umu jamii forums kuna baadhi ya vituvitu furani vikititokezaga huwa vinazua utata ambapo kila mtu anatoa perception zake sasa nimeona bora niwaweke watu sawa katika baadhi ya mambo hayo ambapo naamini ninachoandika mimi ndicho sahihi kuusu mambo ayo 1)...
  2. school boy wizzy

    Admission letter ya UDOM

    kwawale wa udom ivi kuna mtu aliyeipata admissio letter na ni kwanjia gani tusaidiane tuambine uku jf uko whatsapp kwenye ayo magrupu wengi simu zetu azina uwezo tupeane taarifa kwa wote
  3. school boy wizzy

    Bachelor of education in psychology kwaanaeijua

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hivi hii course niunakua mwalimu was ppschology au inakuaje kwenye solo Lla ajira
  4. school boy wizzy

    Anaejua ili tujuzane kuusu kuprint baada ya kuaaply chuo CAS

    kama uzi unavyosema kuna kitu kimoja sikielewi ukishaomba programs zako kama ujaprint inamaana taarifa zako na kozi ulizoomba kure awazioni inakuwa kazi bure au nikwamba atakama ujaprint taarifa za machaguo yako wanazipata ila unaprint kama ushaidi SWALI:ni ushaidi tu endapo lolote litatokea au...
  5. school boy wizzy

    kwaanaejua ili tujuzane kuusu kuprint baada ya kuaaply chuo CAS

    kama uzi unavyosema kuna kitu kimoja sikielewi ukishaomba programs zako kama ujaprint inamaana taarifa zako na kozi ulizoomba kure awazioni inakuwa kazi bure au nikwamba atakama ujaprint taarifa za machaguo yako wanazipata ila unaprint kama ushaidi SWALI:ni ushaidi tu endapo lolote litatokea au...
  6. school boy wizzy

    Ipi kozi nzuri kati ya hizi mbili?

    abari zenu wana jf ninaitaji msaada wa ushauri kati ya izi kozi _Bachelor degree in procurement and logistics management vs _Bacherol degree in human resources management yepi ambayo inauwanja mpana wa kupata ajira apa bongo msaada kwa anayejua kati ya izo yepi niweke priority
Back
Top Bottom