Asimamie msimamo na majibu yake ila sio mabo yakupigwa risasi.....jamani twaelekea wapi?hakuna connection ya majibu na Bunduki!!!!! Pia hay hayana maslahi kwa wapiti kura wa sumbawanga na arusha
Kwa wasiojua Arusha, pazuri na Geneva of Africa ,ila Usalama ni mdogo,Leo askari kapigwa risasi,wanaopigwa visu,bisibisi ndo usiseme,waziri aliangalie hili na siasa ziwekwe kando kwani nihatari.kilakukicha afadhali ya Jana ....Jana polisi kwenye masako wamemkuta mtoto wa sekondari amehifadhi...
Sihasa........tumeshawapa kula Hao wakubwa sasa tuwaacha wale mkate kwa asali,janja zao kwa mtu aliefunuliwa atajua hakuna a lie safi ila ni mradi,na miaka mitano watarudi ten a nakelel zakutosha,tsht,kofia kanga nk.......wakupigwa mabom watapigwa,watasonga mbele...wao watakaa nyuma
Unajua jamani kuweni wakweli na binadamu,inakuwaje mtu anapigwa risasi wengi mnafurahia?kwanza taarifa za mtoa topic si zakweli na kasha ataumbuka kwani habari za polisi kupigwa risasi ni kweli ila kafa,au la,kapigwa na majambazi au wafuasi wenye kulipa kisasi......sikweli,kasho mtajua unwell na...
Kweli hii ni nzuri na ikon kitaalam zaidi.wanaolipinga wameliangalia kwa karibu sana,mi nalihitaji hili ten a kwa baraka na ni kwamaendeleo,nip mwanga zaidi
Huu mjadala au maswali ya Mtweve ni muhimu na silo kubeza,na nikwa faida ya wasiojua.Kama wewe unayaona ni yakike wengine twaona yamsingi kwani sio kilamtanzania anifahamu vizuri katiba ya sasa na mapungufu yake,hive usiwachanganye JF nimtandao wakuelimishana na sio mkumbo nakuburuzwa na Hasira...
Haya yako hat a ulaya umezitoa wapi? Na je kijijini kwenu hayapo,pia nilikuagiza marekani na china,India wapo,je unamaanisha nini kuziweka hizo,in a maana cdm hao watawavalisha suti na mkate na siagi? Leo hawajatulia bungeni na wanapigania madaraka na kusahau tulicho watuma,,,,,,,,wazungu...
[Rais kawa mkweli,hajui dowans ila anamjua mbunge wake RA nini huelewi hapo?
QUOTE=DOUGLAS SALLU;1598429]Hivi jamani kweli Kikwete hafahamiani na Rostam Aziz?Maana juzi kauongopea uma wa watanzania kuwa hawajui dowans na wala wao dowans hawamjui yeye.NI AJABU NA KWELI LAKINI IMETOKEA HAPA...
Hivi mtu akiwa na mtazamo HASI kwa mwana Chadema ni kuwa na matatizo ya akili? Tusipo badilika itakua ngumo kufikia malengo,na tutakua wakuburuzwa tu,mtu ana soo akajibu,na asitumie kanuni kujikomboa,imekula kwake!!!!!
kweli ndgu,tundu anamatatizo yake anataka bunge lisitishwe,nadhani aliemshauri hajui sheria na wailompa kura tundu wamuulize kama ndo walichomtuma huko bungeni,otherwise namsifu sana Lusinde kwa kuwa mkweli na Roho wake mtakatifu ni wa ukweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.