Search results

  1. MTAZAMO

    Wanachama wa Simba mchakato wa kufanya Simba Kampuni bado, chukueni hatua!

    Hivi kwenye hili John Heche, Boni yai na Makonda wakiungana si tunasambaratisha ile management na bodi yake? 😟
  2. MTAZAMO

    Wanachama wa Simba mchakato wa kufanya Simba Kampuni bado, chukueni hatua!

    Wakuu, Ni muhimu wanachama kuomba kikao cha dharura waweze kuelezwa hatma ya timu yao. Kama msipofanya hivyo subirini miujiza! Hii timu mkitaka mfanikiwe msikubali hadithi za kale na takwimu za tupo nafasi ya ngapi CAF, ulizeni maswali magumu mjibiwe au watuachie timu tuungeunge hadi tupate...
  3. MTAZAMO

    FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

    Tuna timu mbovu. Main reasons ni viongozi na bila mabadiliko ya viongozi hakuna kitachobadilika. Sasa wanachama jipeni moyo hawa viongozi wafanye mabadiliko ya maana.
  4. MTAZAMO

    Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

    Nafikiri kama Taifa tuna tatizo zito linalofukuta na kuna watu wanachochea. Shekhe kusimama msikitini kuongea haya leo nini anatafuta? Anyway, muda ni mwalimu mzuri.
  5. MTAZAMO

    Celebrities wa Tanzania waliobadili dini na kuwa Waislam

    Huwezi kumjua Kristo alafu umuache! Kristooooo ......
  6. MTAZAMO

    Hongera Maulid Kitenge na Nusrat Hanje kufunga ndoa

    Aisee, Kitenge noma!
  7. MTAZAMO

    Zitto Kabwe: Rais Samia alipaswa kutangaza kifo cha Hayati Magufuli akiwa ameshaapishwa, kitendo Cha Wakuu wa Ulinzi kuwa Watoa Taarifa ni hatari!

    Hii ndio hatari zaidi, kumpa fisi ( wanasiasa) bucha kwa vinchi vyetu hivi corrupt.
  8. MTAZAMO

    TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

    Sanctus Mtsimbe nimemfahamu hapa JF enzi zile akiwa active sana humu. Nilibahatika kukutana nae around 2 yrs ago aki launch Zuku products. Anaonekana ni mtu mtulivu, mcha Mungu na mbunifu sana. Rest in peace brother Sanctus Mtsimbe
  9. MTAZAMO

    Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

    Wizi wa kura na ujambazi wake hakuna kipindi kinachozidi kingine. Tofauti ni JPM hakuwa mnafiki na kona kona. Ukisikia mtu anasema 2020 ilizidi ujue huyo hajawahi kuwa front kwenye uchaguzi na kama alishiriki hakuwa insider alisikia sikia tu vitu.
  10. MTAZAMO

    Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

    Wamemtukana sana JPM hadi akiwa kaburini lakini bado hawachoki. Huu unafiki kuna muda uzi utakatika tuanze kujenga ukuta.
  11. MTAZAMO

    Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

    Huyu ni one of the top haters wa JPM hatupi tabu! Chuma JPM all times all days! Haters tunawasikiliza tu.
  12. MTAZAMO

    Ukweli kuhusu kwanini unaamini dini unayoiamini

    Influence ya wazazi YES! Ila wengine tuliamua kuchunguza facts za imani yetu hadi kufikia hatua ya kuyumba kabisa ila tulipokuja kupata uhalisia ndipo tulipotuliza nafsi na roho kwa Kanisa Moja Takatifu la Mitume! Huwezi kujua kweli kwa kumtegemea mchungaji wako bila kukubali challenge nje ya...
  13. MTAZAMO

    Biblia wanayotumia Wakotoliki na wanayotumia Walutheri pamoja na madhehebu mengine ni tofauti?

    Author wa Bible ni Holy Spirit na Catholic Church. Whoever against the Mother Holy Church is against Jesus himself. Sasa hutaki sawa ....
  14. MTAZAMO

    Wakatoliki mnakwama wapi kwenye media?

    Ni mpaka watapotokea walei wa invest kuweka maudhui ya Kikatoliki. Tuko slow mno na kutumia media kuinjilisha. Hata TV maarufu duniani EWTN founder ni mother Angelica na inaendeshwa kupitia bodi maalum.
  15. MTAZAMO

    Waziri Jerry Silaa unastahili pongezi kwa ubunifu huu!

    Mimi imenichukua 2 days hapa muda wowote hati yangu inatoka.
Back
Top Bottom