Search results

  1. M

    Mama au mke?

    Aki i dont know what to say to you br. Najaribu kukuelewa lakini nina maswali kama matatu ya kukuuliza. 1. Mahusiano yako na mkeo yakoje 2. Mahusiano ya mkeo na mama yakoje. 3. Na mahusiano ya mkeo na biashara zako yakoje. Ukishajiuliza maswali hayo yote na ukapata majibu kwamba ni mazuri...
  2. M

    Mke ana besi

    Sioni shida yoyoute ya mwanamke kuwa na base. kwani basi inakula mtu. what's the matter with you.
  3. M

    Mwanamke kumtongoza mwanaume na tamaduni za Kiafrika

    Hakuna haja ya kutumia body language. huu ni ulimwengu wa uwazi na ukweli tena wa usawa. am a woman and it's good or the best thing to do kama wampenda wee mwendee mwalike kwa chai ama kinywaji chochote na umwambie lililo moyoni bila kuslake slake ohh atasemaje ohh atanionaje. Mwanamke unaweza...
  4. M

    Namzimia mume wa jirani

    think twice before you do anything. so what. unamwangalia angalia mume wa mwenzio na kama ni wako na mwingine anamwangalia angalia what could have done
  5. M

    Nimuandalie zawadi gani valentine hii?

    Mpeleke mahali ambapo hajawahi enda na urudie nadhiri zile ulizoziweka wakati ulikuwa unamchumbia it will be mor than enough to your wife that material things.
  6. M

    Kuvaa msaraba wakati wa Tendo

    Kama ni wako hofu ondoa. Na kama si wako huo msalaba utakuwa hukumu yako.
  7. M

    age gap relationship.

    I dont think if you are doing her justice. Umekuwa na yeye mida hiyo yote na ushamzalisha watoto wawili and now you are here telling us age difference. To me you are not wise enough. And then if you love her and she loves you that much why should you worry. I think that is the most important...
  8. M

    Serious..serious..!natafuta mke mtarajiwa!

    Mie nina sifa hizo zote utakazo wewe. Lakini natoka kaskazini sasa itakuwaje mtu wangu.
  9. M

    Kwa wakina dada tu; Kuna nini kwa waume wa wenzenu!!!

    wazee wanatunza kuliko vijana hilo mimi pia nalijua. but i cant dare do that myself.
  10. M

    Kumkosa Umpendaye Kwa dhati

    nakupata kiukweli coz i had the same problem. la muhimu sasa you just let her go coz may she was not meant for you. hilo ndilo unapaswa kufanya kwa sasa.
  11. M

    lugha ya kiingereza ni kikwazo

    Nadhani ni muhimu hawa wasanii wachukulie fani zao kwa umakini zaidi na kama usanii ndio wanaotaka itawalizimu warudi kwenye vyuo mbali mbali ili waweze kujikwamua katika swala hili zima la kimombo.
Back
Top Bottom