Search results

  1. Sefu jafary

    Mrejesho

    Habari gani wadau wa nguvu,siku za nyuma nili post thread ya kutafuta mwenza. Katika ile post nili toa vigezo vya mtu ambaye naitaji kuwa naye. Kuanzia siku ile madada wengi walijitokeza wengi wakiwa Jf members kila mmoja akijigamba kuwa anaitaji ndoa kachoka kuwa single na hata kama kapungukiwa...
  2. Sefu jafary

    Factors that make learners hard to forget

    According to the tittle learning is changing of behaviour. And usually behaviour changes from not knowing to knowing. For higher learners mostly they learn themselves by reading different materials. So,reading also has divided into reading for understanding and reading for pleasure. Reading...
  3. Sefu jafary

    Hatari ya kuchanganya Elimu na siasa.

    Kutokana na hali ya siasa ilovyo nchini ni kawaida kumkuta kiongozi aliye aminiwa na wananchi akiwashutumu vijana wanao maliza chuo kwa kushindwa kujiari. Lakini yeye tayari yupo ajirani. Viongozi aina hii pamoja na ajira kutolewa kichama vinatuumiza sana vijana. Utakuta kijana mwenzako...
  4. Sefu jafary

    Kama unahitaji Hiliki pita pita hapa.

    Ni matumaini yangu kuwa mpo vizuri kiafya sabab,kwangu mm afya ndo mtaji wa kwanza kabla ya capital. Kama nilivyo tangulia kusema kwenye kichwa,nina mzigo wa hiliki nauza kwa bei ya jumla na reja reja lakini reja reja ni kuanzia kilogram 50. Bei ni yakawaida sana kutokana na dhamani ya hili zao...
  5. Sefu jafary

    Natafuta jiko.

    Kwanza kabisa ni mshukuru mungu kwa kunipa uzima hadi leo nimekuwa mtu mzima nafikiria kuoa. Pia shukran za pekee ziende kwa wazazi wangu ambao walionyesha upendo wa dhati tangu nikiwa mdogo hadi sasa. Kwa kawaida baada ya kumaliza kusoma ni mda muafaka wa kutafuta jiko. Kama kichwa kinavyo sema...
  6. Sefu jafary

    Biashara ya mahindi na choroko

    Nipo mikoani naitaji kufanya biashara ya mahindi pamoja na choroko. Kwa ambao mupo mjini na mnahitaji mzigo tuwasiliane tafadhali. Mahindi nauza kwa gunia na choroko kwa kilo. Bei ni maelewano,kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane. Note: Siitaji utani kwenye biashara kama sio tajiri na huna...
  7. Sefu jafary

    Give caption to this.....

    Naanza mimi "anaswa akimgonga mbuzi"
  8. Sefu jafary

    Click this video to see people of now days.

    Leave comment regarding to what photo say.
  9. Sefu jafary

    Which is your first priority between money and love?

    I think the heading has uncover what is in side the box. prove, which is your first priority between money and love?
  10. Sefu jafary

    Natafuta soko la viazi na ndizi

    Kama kichwa kinavyo jieleza naitaji soko la uhakika la viazi mviringo, ndizi na miwa. Napatikana Tanga kama unaitaji tuwasiliane kupitia sefujafari26@gmail.com au kupitia 0746756229
  11. Sefu jafary

    Kidudu mtu awa gunzo kwa walaji mboga za majani

    Kama kichwa kinavyo someka, moja ya habari zilizo enea na ambazo huwapa watu wengi hofu ni kuwepo kwa huyu mdudu. Hofu huzidi kutanda baada ya kuwepo habari kuwa mdudu huyu ana mdhara na kuna maeneo amesababisha vifo. Mbali na habari ya vifo pia shape ya huyu mdudu huwaogopesha watu wengi na...
  12. Sefu jafary

    Neno moja kwa mzazi wa huyu Mtoto.

    Wapo watoto ambao hupenda kuiga kila kitu ambacho mzazi anakifanya.Siku izi wapo watoto wana kunywa pombe na wengine kuvuta sigara kwa kuwaiga wazazi. Mfano mzuri yupo Mtoto wa jirani huwa akimuona Baba yake anavuta sigara huwa analia sana akitaka apewe avute. Hii imepelekea mzazi wake...
  13. Sefu jafary

    Kama utakuwa umeguswa na hili share kwa wengine.

    Nimatumaini yangu wote ( Jf members) mpo vema.Leo tuhamishe mawazo yetu kidogo toka kwenye siasa na kufikiria vitu vingine tofauti na siasa.Binafsi siasa za hapa kwetu (Tz), zina nichosha day after day. Just enjoy your moment even for a single min by engaging in entertainments, don't wait...
  14. Sefu jafary

    Story: Mr.Never-told

    If you have got a chance of reading this book, obvious you are aware with this man. In form two secondary school there is a book called MABALA THE FARMER. The main characters in this book were: MABALA who married a woman called MAUJA or MAMA MARTINA.Martina was their first born child. Bofore...
  15. Sefu jafary

    Vyakula vya mafuta (fat and oil)

    Baada ya ya kujua vya kula vya carbs (wanga) na protein katika threads za nyuma,leo tunasonga mbele kuzungumzia lipids kama aina ya mwisho ya macro-nutrients. Lipids: ni vyakula vyote vya mafuta (Fat and oil).Vyakula vya mafuta vipo katika makundi 2: √saturated lipids (fat)-Have double bond...
  16. Sefu jafary

    Nina ndoto za kupata Mtoto wa kiume, nifanyeje?

    Nipo kwenye mahusiano,na nina ndoto za kupata Mtoto wa kiume.Je,kuna uwezekano wa kufanikisha katika hili? Sijapendi kwenda hospital kwanza nimeamua nianze na mtandao mkubwa wa jamii forum ambao naamini wapo wana sayansi na waliofanikisha kwenye issue kama hii.So,kama una idea yoyote kuwa...
  17. Sefu jafary

    Neno moja kwa wanaume wa type hii.

    Je,haya ni mapenzi au uonevu?
  18. Sefu jafary

    Kwa yeyote anayehitaji Laptop tuwasiliane.

    Kama kichwa kinavyoseomeka,nauza laptop aina ya DELL LATUTUDE/E 6400.Haina tatizo lolote naiuza 7bu ya matatizo tu. Property Ram:2 GB Processor: P8700 System:32-bit. Kwa yeyote anaehitaji tuwasiliane kupitia: 0746756229 napatikana Korogwe. •Bei ni Tz sh 290000/=
  19. Sefu jafary

    Mungu ni mwema wakati wote.

    Tunayo majonzi makubwa kukupoteza ndugu yetu,mwanachuo mwenzetu Mariam mwaka wa pili (KOTC).Pamoja na changamoto zote ulizo pitia toka Udom,kasulu hadi Korogwe ambapo ndipo umauti umekufikia.Japo ndoto zako zimeishia njiani, hatuna budi kumshukuru m'ngu kwa yote sababu yeye ndo anatoa na pia...
Back
Top Bottom