Search results

  1. E

    Samia kama Rais wa Tanzania, je, ameweza kuwawakilisha wanawake vizuri?

    Nawasilimu kwa jina la Jamhuri! Kwa mara ya kwanza toka nchi yetu ipate Uhuru, tulipata Rais mwanamke kwa njia isiyo rasmi sana baada ya kumpoteza Rais, Mh hayati John Pombe Magufuli. Mh Samia Suluhu amekuwa madarakani kwa muda mrefu sasa. Amefanya mambo mengi kama rais wa nchi, amepongezwa na...
  2. E

    Mtumba nchi gani unalipa?

    Habari za mchana wapendwa! Moja kwa moja kwenye mada. Kwa muda mrefu nimetamani sana kufanya biashara ya kuuza mitumba lakini sijui ni mtumba toka nchi gani unalipa. Naomba kwa yeyote anayefahamu soko la mtumba anijuze nipate kuanza! Nilitamani sana nipate balo la mtumba wa watoto na wanawake...
  3. E

    Mwanangu hapendi kula hata akila hawezi kutafuna na mara nyingi hutapika!

    Habarini great thinkers! Moja kwa moja kwenye uzi, nina mwanangu wa kike sasa ana miaka mitatu. Tatizo lake hapendi kula hata akila hawezi kutafuna na mara nyingi hutapika! Tafadhali naomba mnisaidie namsaidiaje? Natamani kuona akila na kufurahia chakula. Ahsanteni Sana! Mungu awabariki!
  4. E

    Nitakula vipi mlo kamili?

    Habarini!! Kama Kuna kitu kimekuwa kinanitatiza maishani basi ni namna ya kupangilia mchanganyiko wa makundi mbali mbali ya vyakula ili kupata mlo kamili. Ombi langu kwa anayejua mlo kamili ni nini, anipe mifano miwili mitatu, nile nini na nini ili nipate mlo kamili?! Mungu akubariki!
  5. E

    Nionavyo Mimi, ( Tafadhali soma na changia)

    Heshima zenu wapendwa! Hili nalo linanichanganya mwenzenu sijui kama mwenye kuweza kunisaidia. Kwa mtazamo wangu mimi nadhani wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni wengi kuliko kazi wanayofanya. Wanasema 'two heads are better than one' lakini kusema kweli bunge letu halina tija na...
  6. E

    Chuchu Saa 6! Msaada Please

    Habarini wapendwa! Naleta kwenu kisa cha rafiki yangu mpendwa kwa mategemeo ya kupata msaada toka kwenu. Tatizo linalomsumbua rafiki yangu huyu ni matiti yaliyotuna kifuani pake ilihali yeye ni mwanamume. Katika watu kumi atakaokutana nao katika matembezi, tisa humcheka na kumfanyia...
Back
Top Bottom