Search results

  1. M

    Rostam MUST Resign; CCM Must Act

    Sawa Sawa na wanaomsaidia tuwaaadabishe. Tuanze kwa kuwasomesha watu wa Igunga wamuondoe, infact Maandamano yaanzie Igunga, then Mkoa wa Tabora, then Dodoma, then Kada ya Ziwa, Then Mbeya, Then Iringa, Then Mtwara The Arusha then ...........................
  2. M

    Hivi Hii Ya Marando Imekaaje?

    Wanachadema mnafikiri mmepata kumbe mmepatikana. Chui hata siku moja hawezi kuacha ngozi yake ya madoadoa. Huyu mwanasheria ni mtu yuko kwenye system na hii ni kazi yake ya siku zote. Hela ya dugu Manji tamu sana hawezi acha mimi. Kazi iko!!
  3. M

    Naomba Kujua Elimu na GPA ya Jakaya Kikwete!

    Ogopa sana mtu anayetaka kujua GPA za wenzake. Huyu mtu lazima alisoma kwa shida sana, halafu hajalipa mkopo wake uliomuwezesha kusoma ili wengine nao wasome. Nchi hii inaweza kuongozwa na mkulima maana wasomi wote wameshindwa kutufikisha tunakotaka kuanzia Baba wa Taifa. Kifupi Elimu inakupa...
  4. M

    Vitendo ndani ya School buses!

    School Bus haihitaji Koda ni Dereva tu pekee yake na Mwalimu wa zamu.Haingii akilini mtoto kufanyiwa mabaya na wazazi kukaa kimya. Tunajenga taifa gani hili?
  5. M

    Mubarak: I'm ready to go but.............

    It's true. A patriot will always think about his country first, and for that I am with Mubarak . This should be a lesson for Self imposed Leaders all over the World. EGYPT should not be left to that Nuclear Scientist who is even older than Mubarak and his is very dangerous just like his...
  6. M

    Tanesco yatangaza mgawo wa umeme nchi nzima

    Kwa nini hili swala sisi watanzania tunawaachia wachache waliamulie? Hatuwezi kuendela kuishi kama watumwa ndani ya nchi yetu wenyewe. Tuamke!! Mtu unaanza siku bila umeme kazini na unamaliza siku bila umeme nyumbani. Sasa hivi huwezi kufanya kazi bila umeme, maofisi mengine hatuna type writer...
Back
Top Bottom