Elimu, haitaweza kuwa bure, amini usiamini. Kweli shule inaweza ikubali kukuandikisha bila ada. Lakini elimu ya bure? Inawezekana kweli hiyo? Naona kama tayari ulikuwa unajijibu mwenyewe kwa kusema english medium zipo. Lakini English medium is not everything about education, it could turn out to...
Dume, hebu rudia tena. Inawezekana, kuna kipimo bora zaidi cha elimu zaidi ya mtihani. Kumbuka, unakaa darasani kwa mamia ya masaa kwa miaka minne, ama saba, kwa mwanafunzi wa shule ya msingi, kisha unafanya mtihani kwa masaa machache tu.
Pia, tazama muda unaokuwa shule, si wote unakua...
Nashangazwa na hii hali. Kwanini tusubiri matukio ndio yatuibulie mijadala juu ya mambo muhimu kama kiwango cha elimu. Je, kama matokeo ya mwaka huu yangekuwa wanafunzi wamepasi kwa asilimia 80 tungesema kuwa madarasa yasiyo na madawati, shule zisizo na maabara, walimu wanaokaririsha majibu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.