Search results

  1. W

    TANZIA Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo afariki Dunia

    Huyu hakuwa mlinzi mkuu. Mlinzi mkuu yupo ambaye wote ureport kwake. Alipewaga ubalozi.
  2. W

    Historia ya Mkata utepe wa kisiwa cha kusadikika aliyepotea ghafla alikuwa akikabidhiwa majukumu mazito ya kushika usukani mwanzoni mwa kalenda mpya

    Ha ha ha! hakuna lolote lile. Unanikumbusha enzi hizo. Nilipoishi kule kulikuwa na vitisho kuwa wanatumia majini na viumbe wa majini katika mazingara. Na kuwa uchawi wa bara haufanyi kazi. Tulikatazwa kwenda minazini wakati wa mchana. Wakidai ni wakati wa majini kutembea. Sikujali na mara nyingi...
  3. W

    Kwanini mimi si Mtanganyika bali Mtanzania

    Tanganyika ilianzishwa chini ya wakoloni wa Kiingereza mnamo mwaka 1921 mara baada ya vita ya Kwanza ya dunia kuisha. Nchi hii ambayo toka ilipochukuliwa na Mjerumani mwaka 1885 iliitwa German East Africa Colony. Hii ikimaanisha Kabla ya hapo hatukuwa na Tanganyika wala hakukuwepo nchi...
  4. W

    Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO

    Fisi yang'au weye. Ukufunzwa adabu na wazazio tutakufunza. Maggot!
  5. W

    Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO

    Samahani sina mlengo wa ushabiki wa kidini. Mitanzania ya siku hizi imejawa udini na ukanda. Uwa siamini katika udini, ukanda wala ukabila. Ninaishi na dini zote, kanda zote, na makabila yote wote tunaelewana. Pole kwa udini wako.
  6. W

    Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO

    Kama mie mbuzi weye nguruwe. Matusi tunayajua pia! Ibirisi tu!
  7. W

    Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO

    Nadhani hujui lini Nyerere aliachia madaraka ya Urais. Shida vijana wa sasa mpo kiushabiki hamjui hata historia ya nchi. Mmebakiza uchawa tu. Ni sawa na Raois mmoja alikuwa anajaribu kufuta legacy ya Nyerere. Mtahangaika sana na roho yenu ya korosho.
  8. W

    Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO

    Viwanda vilikufa wakati wa Mwinyi na vikabinafsishwa wakati wa Mkapa. Acheni chuki binafsi. Nipe hiyo hotuba Nyerere aliyokiri hayo unayosema.
  9. W

    Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO

    Shida wewe unachuki binafsi na utawala wa Nyerere. Nilikuwa nakupa mifano tu ya baadhi ya maeneo. Sikusema naorodhesha viwanda elewa kiswahili. Pole sana kwa kumpinga Nyerere mwenzako hana kiwango kama cha hao unaodhani wanawenza kupambana na legacy yake. Kunywa maji upumzike!
  10. W

    Kagasheki: Mtindo wa Makonda kuwapa tumbo joto Mawaziri haufai. Dunia nzima kuna utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi

    Kagasheki aache ubabaishaji. Alikuwa waziri asiye na tija. Ni miongoni mwa mawaziri waliokuwa wanajisikia na kujiona kuwa wao ni watofauti. Yaani Waziri kutoa majibu kwa kero za wananchi anasema ni kuwashushia heshima! Huyu mzee. Shida Africa uwaziri au uongozi tunaona ni mwanya wa kuwa mkubwa...
  11. W

    Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO

    Taja viwanda ambavyo Nyerere alitaifisha. Watu kazi yenu kupindisha historia. Viwanda vyote vya nguo Tanzania vilijengwa wakati wa Nyerere. MUTEX kilikuwa kiwanda kikubwa Africa Mashariki. Viwanda vya maziwa vilikuwa sehemu zote walikokuwa na ngómbe kwa wingi. Viwanda vya viatu iliitwa Bora...
  12. W

    Kinana na Chongolo wamepongeza uteuzi wa Makonda mpaka sasa hadharani? Kama bado kwanini?

    Nani kakwambia CCM ni moja. Ha ha ha! Kikwete menyewe alikri kuwa watu ilifikia awaachi maji mezani. Kipindi cha Lowasa uliona ilivyogawanyika! Wakati wa mwenda zake uliona walivyopigana majungu. Nani kakudanganya lao ni moja na wanakubaliana! Ingekuwa lao moja na wanakubaliana kwanini spika...
  13. W

    Kinana na Chongolo wamepongeza uteuzi wa Makonda mpaka sasa hadharani? Kama bado kwanini?

    Makonda hana maajabu yoyote. Ila ni kijana shupavu asiye ogopa kuongea chochote kwa maslahi ya aliye muweka katika nafasi. Watu kama hawa kwenye jamii uwa wapo na kiuongozi uwa ni wazuri kwa kutisha maadui na hata kujenga lugha za upambe kwa walio waweka madarakani. Nafasi hii ya usemaji na...
  14. W

    Kama Sauti Hii ni Sauti ya Kweli, Nimeelezwa Mpango Ndio Mpango Mzima!. Swali ni... Akiwa Mkristo, Kwanini ni Lazima Awe Mkatoliki?!

    Kuna mjomba wangu, huyu nilimwamini sana katika kufatilia maswala ya nchi. Alibahatika kusoma nyakati hizo, na kuwa mmoja wa wakubwa. Tulijadili mara kwa mara siasa, wakati huo Lowasa akitajwa tajwa. Alinambia Rais wa nchi hii atakuwa mkatoliki si Lowasa wakati huo ilikuwa miaka ya 2010. Alisema...
  15. W

    Nimeacha kusikilizwa hotuba zake hazina matumaini kabisa

    Leo anadharau katiba ya Nchi wakati ndo ilimsaidia kumuweka madarakani. Wazee waliona mbali wakasema huyu hawezi kuliongoza Taifa. Ati Mkuu wa majeshi akaja juu, na kusema katiba iheshimiwe. Mkuu wa Majeshi wakati huo, alimtetea sana mama na kumlinda kwa katiba. Leo mama anatumia maneno ya...
  16. W

    Wanadiplomasia Wabobezi wameanza kupotea na ni adimu sana Tanzania miaka hii ya karibuni

    Watu wengine yaani mtu anakurupuka kujibu hata aelewi hivi ni wapi nimeandika au kuhusianisha na nchi za nje au Kenya. Nadhani uelewi kinachoongelewa. Kama umezaliwa miaka ya 2000 hutojua kakae darasani ufundishwe. Vijana wa siku hizi shida sana katika kufikiri na kujibu hoja.
  17. W

    Wanadiplomasia Wabobezi wameanza kupotea na ni adimu sana Tanzania miaka hii ya karibuni

    Umeongea sahihi tunahitaji Bunge kuridhia baadhi ya teuzi za Rais. Lakini shida ya Bunge letu wanajikomba kwa Rais. Bunge la Tanzania halina uwezo wa kukataa anachopendekeza Rais. Shida inakuja Rais ndo mwenyekiti wa Chama, atakae pinga ataadhibiwa. Hivyo hata Rais ateuwe na kupeleka Bungeni...
  18. W

    Kwa mara ya kwanza nimefika Dodoma. Hayati Magufuli ni mbeba maono

    Nchi nyingi duniani uhamisha makao makuu ya nchi au Mji mkuu. Mfano kwa kutaja chache tu! Marekani ilihamisha, Ujerumani, Nigeria, South Africa, Brazil na hata Sweden. Sioni tatizo la kuhamisha mji. Ndo maana Tanzania kila kitu ni Dar matokeo yake Dar imependeza saana kuliko miji mingine...
  19. W

    Kwanini Rais mstaafu Kikwete hakupewa nafasi ya kuongea katika uzinduzi wa Kavazi la Dkt. Salim?

    Ha ha ha! Unadhani anamafanikio gani kunishinda? Au unadhani wote tulio humu jamii forum ni waganga njaa. Tuliza akili jamii forum ni watu wa kila aina, kiuchumi, kisiasa, na kijamii. Hujui ukoo wangu wala hunijui.
Back
Top Bottom