Search results

  1. 92brow

    Yalionikuta mtaani sina hamu

    Sina mda mrefu toka nipate ajira iliyonifanya niame toka kwa wazazi na kupata chumba magomeni mtaa kapuni si mwenyeji hapa mtaani ratiba zangu saa 12 asubui nachomoka kwenda jobu na narudi majira ya jioni, siku za jmosi na jpili siendi job. Kilichotokea jmosi moja niko home napiga usafi wanguo...
  2. 92brow

    Msaada jinsi kuingiza sauti kwenye picha za video

    Salaam wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kufaham jinsi kuingiza sauti kwenye video kama wanavyofanya baadhi ya maDJ wanaotafsili picha mbalimbali na kuingiza sauti ndani ya picha hizo.
  3. 92brow

    Nauza gari aina ya Suzuki Cary.

    Salaam wandugu nauza gari aina ya Suzuki Cary ipo Dar bei ni ml.6 iko vzr alie tayari karibu tuyajenge.
  4. 92brow

    Prof Lipumba safari ya kujenga chama mlete Dk slaa CUF.

    Pr Lipumba pole na maswahibu yaliokupata katika chama kuanzia yaliotokea kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi atimae umerudi katika majukumu ya kusimamia na kuendesha chama. Nakumbuka huko nyuma namna wenzetu wa katika upinzani walivyokuwa na mchezaji mahili katika siasa za Tz yetu kwa bahati...
Back
Top Bottom