Search results

  1. Doy Dolly

    Msanii Wema Sepetu arejea CCM, aitosa CHADEMA

    KAJIMALIZ MWENYEWE KAMA KINA MASHA, KAFULILA, NAAPA KWA MAONO YANGU HAWA WATU SIDHANI KAMA UTAWASIKIA WAKITAMBA TENA AU KUWA NA USHAWISHI MKUBWA TENA KAMA ILIVYOKUWA NYUMA. NAAMIN KUTOKUWA NA MSIMAMO KWAO NA UDHAIFU WALIOUOYESHA HAITAKAA ITOKEE WAKAAMINIKA TENA. KAMA WALIKUWA NA MPANGO WA KUPATA...
  2. Doy Dolly

    David Kafulila: Ni mkakati wa kisiasa au ni kuteleza kwa miti?

    Kuna wanasiasa waliopo kujitolea juu ya wananchi kweli kweli, kuna waliopo juu ya mslai yao binafsi hili ni group kubwa sana hasa ma CCM, na kuna wale waliokosa kazi wakaingia kwa ajili ya kujulikana na kutafuta nianya yao ili wafanikishe kujulikana au kuwapa milango ya kufanya biashara. sasa...
  3. Doy Dolly

    PICHA: Dr Shika kwenye kampeni za CCM leo

    Si unakumbuka kina Bongo movie walitumika hadi wengine kugawa K kina madalaka ya kulevya kuwa kuhisi wataambulia hata viti maalumu, unaonaje walivyoachwa solemba na wengine kama kila Ray watu waliahidi hawatakaa wanunue kazi zao tena juu ya usaliti. sasa wanalalamika mchawi kumbe hasira za watu...
  4. Doy Dolly

    Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito

    Duh! kweli mwaka huu tutaona mengi. yaani wanatu wanahangaikia sana mambo ya watu . sijui ni faida gani hii
  5. Doy Dolly

    Lucy Komba na mzungu sasa hakuna ndoa tena

    We Bashite nilijua ni mjanja na bongo imekaa mahari yake. duh! na ukome kunicoment nyuma ktika post zangu, fake mkubwa wewe
  6. Doy Dolly

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    siku hizi hata hawakubali kabisa wadada chini ya 25 yrs old, au mtu asiye na elimu wa miaka chini ya 40 kuingia ulaya kwa sababu wanajua watatafuta wachumba vibabu, au vi bibi juu ya ujanja ujanja ili wapate makaratasi. na pia inakuwa ni migo kwa taifa kuanza kukuhuduma au kukusomesha, na siku...
  7. Doy Dolly

    Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

    Lemtuzi umnifurahisha sana ETI MSOMI WA DUNIA. ukiwa na Daud au makonda mtajie tu jina langu Halima mbulu a.k.a atafunga kinywa nahisi
  8. Doy Dolly

    Mhe. Makonda mfungulie kesi Askofu Gwajima

    JUA UKWELI UNAUMA, AU WANASEMA MKUKI KWA NGURUWE. HUYU BASHITE NA KUJIFANYA KUKIMBILA MAKANISA YOTE NA MISIKITI ANA MATATIZO SANA MUNGU HADHIHAKIWI, ANAFANYA UONEVU KISINGIZIO NIMTUME WA MUNGU. KWANINI ASIFANYE MAZURI BILA KUJERUHI MIOYO YA WENGINE KAMA KWELI NI MTUME WA MUNGU? KIJANA ACHA...
  9. Doy Dolly

    Mhe. Makonda mfungulie kesi Askofu Gwajima

    KUJIPENDEKEZA NA WEWE. HUONI ALIVYOWACHAFUA WENGINE NA MISIFA YAKE
  10. Doy Dolly

    Kutoka Mahakamani: Mbunge wa Arusha Godbless Lema apata dhamana

    AMANDLAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
  11. Doy Dolly

    Waliosoma na kufanya kazi nje ya Tanzania

    kaisa nje kugumu mno, unaweza pata kazi inakuingizia vizuri lkn kumbuka gharama za matumizi au mahitaji ni kubwa mno, na unatakiwa kuwa na bedget ASIKWAMBIE MTU NJE NI KUGUMU MNO JAMANI. HASA KWA WANAUME, BORA WANAWAKE WANAOLEWA AU KUPATA MA BOYFRIEND MAISHA YANAENDA. JUA NJE KILA KITU NI...
  12. Doy Dolly

    Lucy komba this is too much bhana

    Nani kwakwambia ana pesa? yaani Warumi unanichekesha, mpunga kukuni nimeogopa kumwaga
  13. Doy Dolly

    Sakata la Wabunge wa CCM kuhongwa: Mbowe aongea na wanahabari

    Wee acha kukili uongo kwa wanasiasa wa upinzani, ulitakiwa kushuruku kwa unafiki wao unaokusaidia kuyajua mengi amambayo mengi bila wao yalikuwa ni sirini, nchi yoyote vyama vya siasa vina chimbu chimbu nyingi kufichua au kupendekeza mambo ambaya huwapa pressure chama tawala, sasa kwa ujinga...
  14. Doy Dolly

    Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    Hapa mimi naona kuna ubabaishaji wa hali ya juu sana, kwa historia hii uliyoitoa nahisi kabisa umejikanyaga sana, Mheshimiwa je waweza kutuonyesha vielelezo vyako natoka primary hadi chuo kikuu? na ikiwa ulijua watu wengi hutumia majina au nafasi ya kujiendeleza kwa majia siyo yao au ya watu...
  15. Doy Dolly

    Mkuu wa wilaya ya Hai ana PhD feki!

    Catherine Magige je una cheti kweli wewe? je na jina lako la Pamela mbona lilikufa ghafla maana nilishangaa tu mbunge viti maalum Arusha Sura naijuia jina geni, nikaanza sasa udadis hadi nikagundua magumashi, UVCCM mko fake mno kwa kweli, sherikali ya wengi ma fake,
  16. Doy Dolly

    Mkuu wa wilaya ya Hai ana PhD feki!

    UVCCM muheshimiwa Catherine Magige viti maalumu Arusha muulize hata cheti cha form four anacho? yeya nija laka kamili ni Pamela, walizeni wafanyakazi wa bank ya barclays bank Dar, watawaambieni ukweli
  17. Doy Dolly

    Mabara duniani kugawanyika tena!

    Juu ya kugawanyika kwa vipande vya aridhi na upande wa east afrika kuwa kisiwa ni kweli, sema kaongopa kuwa itatokea hivi karibuni, hali hii itatokea siyo leo japo imenza taratibu, ni miaka sana mim na wewe na watoto zetu tutakuwa tumeshakufa labda vijukuu na vitukuu ndiyo watakaoshuhudia au...
  18. Doy Dolly

    Mabara duniani kugawanyika tena!

    Ni kweli kabisa, East Africa itajitenga ilianza kugawanyika pole pole miaka kadhaa nyuma kama mtakubuka bonde la ufa lilipota kutokea nchi za North kushuka chini, na dalili inayogawa zaidi ni tetemeko la ardhi linalopasua taratibu ndani mpaka utakuwa katika ziwa Tanganyika Tanzania yote itakuwa...
  19. Doy Dolly

    Hawa ndio Manabii na Mitume matapeli, tumechoka kuwavumilia sasa

    Nabii wa Ngurumo ya upako je mzee Lusekelo? maana kuna siku niliingia ktiaka lile kanisa nilijuta roho yangu iligoma kabisa, nilijuta na nilipojiuza kwa ninni? moyo unanishuhudia hapa siyo, wahudumu walinizunguka na kunilazimisha nifumbe maacho kipindi cha kuabudu maana hata kufumba nilishindwa...
Back
Top Bottom