Search results

  1. Mphamvu

    Kwanini Mbowe aligaragazwa vibaya kiasi kile na Lipumba Uchaguzi wa 2005?

    Chadema ilikuwa ni mara yao ya kwanza kusimamisha mgombea, pia kama chama hawakuwa na relevance kivile... Hata Mrema na TLP walikuwa juu kuliko wao. Kwa chaguzi za Tanzania chama kingine kupata asilimia 5 ni hatua kubwa sana, na kulikuwa na juhudi kubwa nyuma yake, nadhani ndio ilikuwa mara ya...
  2. Mphamvu

    Mwanangu amepoteza uwezo wakusimama na kutembea

    Pole jamaa. Vipi CT Scan, ile ya asili... Haisemi lolote?
  3. Mphamvu

    Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

    "Leo mke wa Mbowe kazi anayo!" - Anonymous [emoji848]
  4. Mphamvu

    Wahenga tu: Katika awamu 5 za serikali ya JMT zilizopita ipi unaikubali zaidi kwa Utendaji uliotukuka?

    Ya mkoloni, maana tulikuwa tunafahamu fika tunapigwa. Hizi zingine zote za wakoloni weusi wanaojifanya tupo pamoja
  5. Mphamvu

    Lifahamu Vumbi la Congo: Historia, Matumizi, Faida na Hasara zake

    Mambo mengi ya nini? Kuleni todi muinjoi Caribbean love (tamka 'lov')
  6. Mphamvu

    Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

    Mtaani kwetu wanaitwa wa Mchichani. Ni kazi tu kama kazi zingine, zina mazuri na mabaya sema ndo hivyo wabongo tunayo hulka ya kuabuse nafasi flani flani, mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake
  7. Mphamvu

    'Graduate' kuchuuza Makande na Uji Mtaani kama njia ya kujikwamua kimaisha ni matumizi chanya ama hasi ya Elimu?

    Vidato vinawatia ushamba sana Wabongo, mashikolo mageni. Haya mambo ya kujiita Dr, Prof, CPA nani wa nani sijui mbelembele hayapo, mtu na Ph.D yako unakuwa homeless fresh tu.
  8. Mphamvu

    Masharti ya mazishi ya Wakili Munuo

    Mwanaume ndio huyu sasa
  9. Mphamvu

    Serikali imeshindwa kuwadhibiti waganga wa kienyeji na wapiga ramli chonganishi?

    Nadhani kutapeliwa kunatokana na unafiki wetu kuhusu tiba. Matapeli wanapitia humo humo...
  10. Mphamvu

    DODOMA : Siri nzito tulizonazo sisi wahudumu wa nyumba za kulala wageni

    Get a life little mama... Maisha ni fupi.
  11. Mphamvu

    'Graduate' kuchuuza Makande na Uji Mtaani kama njia ya kujikwamua kimaisha ni matumizi chanya ama hasi ya Elimu?

    Elimu ina matumizi mengi, huwezi kujua hata hapo kwenye uji na kande inamsaidia. Kwanza tu imempa kiki. You see?
  12. Mphamvu

    "Mazoezi" Dhana mpya Ya Udangaji na Utongozaji kwa Wanaume

    Acha uzwazwa, mazoezi ni maisha. Kupata demu/danga pia ni sehemu ya maisha. Watu wanazengea nyumba za ibada kutafuta umoto umoto sembuse mazoezini. Halafu watu kudangana, kutongozana ni jambo la kiroho ambalo huanzisha mwendo wa kutimia kwa lile andiko, "Zaeni, mkaijaze dunia". Unachukiaje watu...
  13. Mphamvu

    A BITTER TRUTH: Kwanini watu weusi walishindwa kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu (Whites) kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

    Blaza, naona unapiga ngumi za kuuma sana. Utamuua bwana mdogo... [emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mphamvu

    A BITTER TRUTH: Kwanini watu weusi walishindwa kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu (Whites) kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

    Mkulungwa, huyu ni Ramses II. Ndiye mfalme aliyekuwa na nguvu kuliko wote wa Misri, probably ndiye yule baharia aliyelisha msosi dunia nzima kwenye njaa kali inayotajwa katika Kitabu cha Mwanzo cha Biblia Takatifu. Swali dogo, does he look white to you? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Mphamvu

    A BITTER TRUTH: Kwanini watu weusi walishindwa kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu (Whites) kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

    Soma kuhusu Moor Conquest and occupation huko Ulaya, itakusaidia kupanuliwa mawazo... Halafu ivi vitu vya uzungu vs weusi ni mambo ya imani tu, ukishachagua kuamini hivyo ni vigumu kukubadilisha. Angalia kwa mfano Wabongo wanavyoaminishana kuwa Kinjeketile Ngwale alikuwa mganga flani muongo...
Back
Top Bottom