Search results

  1. N

    Inauzwa tecno W4 ..bei 150

    Ni used haina tatzo lolote,Nyeusi,internal 16GB,RAM 1 GB.. Camera mgpxl 8 ,bei laki na nusu150
  2. N

    Tecno C7 inauzwa 190

    Internal 16 GB, RAM 2 GB, camera back 13 megapixels.front 13 megapixels, iris scanner..bei ni 190,000 haipungui njoo pm kwa serious buyer.
  3. N

    Smartphone bird W6+ inauzwa for 140

    Used, internal 8GB ram 1GB, megapixel 8 being fixed 140.
  4. N

    Tekno W3 for 140

    Used 2week, internal 8gb,ram 1gb charger..earphone unapewa.
  5. N

    Mashuka cotton nzito yanauza.

    Ni cotton nzito Ukubwa 8*8 Shuka 2 foronya 4 Bei elf 70,dar unaletewa ulipo mikoani tunatuma serious buyer njoo pm kwa maulizo.
  6. N

    Natafuta kazi, elimu yangu kidato cha sita

    Umri wangu miaka 26,naishi dar natafuta kazi halali elimu yangu kidato cha sita.
  7. N

    Llb programme open university of Tanzania.

    Msaada kwa mwenye ufaham kuhusu course tajwa hapo juu.. kuanzia qualification za kuingia, muda wa kusoma ni miaka mingap,na ada zipoje? msaada tafadhali.
  8. N

    Tecno W3for 130

    Mpya.. Charger na earphon vipo.. internal 8gb .ram 1gb.
  9. N

    Sony experia z4 used for 140.

    internal 8gb..ram 1gb..INA 4g kwa laki na 40.
  10. N

    Sony experia z4 for 140.

    Used Sony Experia z4 for 140..serious buyer pm.
  11. N

    Smart phone lenovo s850 used,,, for 120K

    Smart phone lenovo s850 used..internal 16gb..Ram 1gb kwa laki na 20 tu...pm for serious buyers
  12. N

    Tecno W4 used 1 month, bei 150k

    Tecno W4 used one month,bei 150..ipo kwenye hali nzuriiii
  13. N

    Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha sita

    Nipo dar, nina miaka 25 na ni msichana. Elimu yangu ni ya kidato cha sita, natafuta kazi yoyote halali. Mwenye msaada wa dhati asisite kunifahamisha. Asanteni.
  14. N

    Simu aina ya tecno w4 inauzwa 170.

    Simu ni used mwez 1 na week 2,ipo kweny hali nzuri,rangi yake ya champaign gold...nakupa charger,ear phon,box na risit ipooo bei ni 170,000 km unahitaji ni pm.
  15. N

    Msaada wa kisheria kuhusiana na PF 3 na RB

    Ni muda gani sahihi au unaokubalika kisheria tangu linapotokea tukio kwa mtu kupata Pf 3 au kureport tukio la uhalifu kwenye RB.
  16. N

    Natafuta kazi

    Ni msichana miaka 25,natafuta kazi yoyote halali..elimu yangu ni kidato cha sita.
  17. N

    Utumishi wa mahakama vipi?

    Baada ya interview utumishi wa mahakama mambo bdo kimya?
  18. N

    Tofauti ya mshahara kwa wafanyakaz wa kada moja kutokana na elimu

    Je kuna tofaut ya mishahara serikalin kwenye nafas moja kwa ajil tu ya elimu zao?
Back
Top Bottom