Watu wanataka posho za semina-elekezi.
Waulize sasa kutumia simu nani aliwafundisha? Simu-janja ni sawa na kompyuta tu lakini kwenye kompyuta watu wanasomaga kozi na kupata cheti, ila sijawahi ona kozi ya kutumia simu-janja. Sasa mtu wa dizaini hiyo analalamika kwamba hakufundishwa kujaza...
Ukristo na Uislam ni falsafa ambazo hazitakiwi kabisa kuingilia sheria zetu. Ni falsafa zilizotawala zama za kale za ujima na ni falasafa za watu wa Mashariki ya Kati.
Tatizo moja kubwa sana ni kwamba falsafa hizi huingizwa kwenye vichwa vya waTanzania kuanzia utotoni wakati ambapo...
Duniani kote ardhi ni mali ya dola. Wakazi wa kwenye dola husika ni watumiaji tu wa ardhi hiyo, na ili waendelee kuitumia ni lazima walipe kodi ya pango (yaani kodi ya ardhi/land tax) kwa dola.
Usipolipia kodi ya pango ya ardhi kwa dola, dola itakuondoa kwenye ardhi husika.
Naomba ushahidi wa hili. Naomba link ya taarifa rasmi ya kusema kwamba serikali ilighairi kuidhinisha mabadiliko yaliyokuwa yameandikwa kwenye Muswada wa Mabadiliko ya Sheria Mbalimbali na. 8 wa 2019, ambamo kuna sheria ya kukataza mrithi asiye raia wa Tanzania kurithishwa ardhi ya Tanzania...
Kweli ujinga ni mzigo. Kumiliki simu ya bei kubwa sio ujanja wala maendeleo. Ni ushamba tu wa kutafuta heshima kwa watu wenye akili ndogo.
Ungeongelea suala la serikali kuondoa kodi kwenye vifaa vya ujenzi ili watu washushe mijengo ya maana hapo ningekuelewa.
Acha umbeya wewe. Ndo maana umepost kama Anonymous ili usije ukashushuliwa.
Yaani ulivyokuwa umekabwa na umbeya kooni mpaka umeshindwa kutulizana na kupangilia hizo picha kwa usahihi. Unatuchosha tu kusoma document iliyopangiliwa ndivyo sivyo... yaani unatoka ukurasa 13 unakuja ukurasa wa 11...
Je kuna uthibitisho gani umefanyika kuthibitisha kuwa hicho kinachoteketezwa ni madawa ya kulevya?
Huku kitaa chapombe akifa kwenye mazishi yake vyapombe wenzake huwa wanammininia pombe kwenye jeneza lake kaburini kabla ya kuanza kufukia kaburi kwa udongo. Ila kinachotokea ni kwamba huwa...
Jibu ni hatujui ni nani aliyeyaoganaizi, au hata kama kuna yeyote aliyeyaoganaizi.
Jibu sio Mungu. Ila kwa wale wasiopenda kukubali ukweli kuwa hatujui ndo wanajifanya wanafalasafa wanakuja na jibu la kwamba ni Mungu.
Sasa ukikutana nao waambie waache hoja mzunguko. Maana kama Mungu anaelezewa...
Lengo lilikuwa ni Muddy akishirikiana na Karia wamvunje Skudu. Si unaona refa wa Yanga na Azam alivyopotezea jaribio la kumvunja mguu Skudu hakutoa hata adhabu.
Hata goli la pili mchezaji wa Yanga aliangushwa refa akapotezea baada ya kuona Azam wana mpira, lakini kumbe hakujua kuwa kampiga...
We sema mkeka wako umechanika na ulikuwa umeipa Simba mazima au umeweka 2+
Acha kusumbua watu na hayo malalamiko hao FIFA wenyewe ni wala rushwa wakubwa hakuna atakayehangaika na hiyo barua.
Charlse Hillary kawa lini mwanasheria?
Suala kama hili inatakiwa amuite Mwanasheria Mkuu wa Tanzania na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar ndo wanaweza kuliongelea.
Na wao neno lao bado litakuwa sio la mwisho katika sheria, bali ni Mahakama ya Rufaa ndo inaweza kutoa neno la mwisho kuhusu sheria.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.