Gazeti la raia mwema wiki hii limeandika uvumi kuwa waziri mkuu wa sasa ameomba asifikiriwe katika baraza jipya linalotazamiwa kutangazwa siku za usoni. Kama uvumi huo utakuwa kweli basi Pinda anaongezeka katika listi ya mawaziri wakuu wastaafu. Suala hili la gharama za kuwatunza hawa viongozi...
Huu ni unafiki wa hali ya juu kwa raisi wa Tanzania, JK!! Badala ya kuongea masuala yanagusu masilahi ya wafanyakazi, yeye anaenda kuongea siasa. I am surprised kusikia kuwa alifurahishwa na majadiliano yaliyokuwa yakiendelea bungeni na wakati huo huo ni yeye alikaririwa na vyombo vya habari...
Imefikia wakati mtandao huu unatumiwa vibaya- watu wanapost mambo ambayo hayana tija. Mfano ni post hiyo hapo juu. Ombi langu kwa moderators ni kuwa post kama hizi zisipate nafasi katika jamii forum tena.
Narejea kauli ya prof wange hivi karibuni kuwa " wagombea wapimwe uwezo wao kwanza".. Nina mashaka juu ya uwezo wako wewe achia mbali jina pengine linaweza kukusaidia. Nimesoma statement yako hapo juu.....mmm inaonekana lugha uliyoitumia haipandi sawa sawa. Next time, jaribu kuwasilisha ujumbe...
Kama kweli mshindi atakuwa ni Chadema, basi naona watanzania taratibu wanaanza kuwa na uelewa hasa wa kutambua kuwa wako hivyo walivyo kutokana na sera mbovu za CCM. Binafsi nitafurahi sana kama Chadema atatangazwa officially mshindi wa Arumeru mashariki.
Ni kweli huyu bwana kachanganyikiwa. mwacheni avae suti suti na kula chakula cha bure kwa mara ya mwisho. Watanzania tujutie makosa ya kuwa na hawa ccm kwa muda wote huo. Hakuna political will na hata leadership miongoni mwao. Hadi inatia hasira kusikia kiongozi wa nchi anajisifia utendaji wake...
Naunga mkono yote uliyopendekeza kuwemo katika katiba. Jambo jingine ni kuhusiana na masuala ya serikali za mitaa. Mameya na wenyeviti wa halmashauri zote wachaguliwe na wananchi katika maeneo husika. Ni mameya na wenyeviti hao wakiwa pamoja na madiwani wao watachagua wakurugenzi au city...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.