Search results

  1. N

    Katiba Mpya

    Ningekuwa Na uwezo Wa kuchagua wabunge Wa katiba, ningejitahidi kupata wenye mapenzi ya Tanzania km Huyo mzee alivyoipenda nchi hii.
  2. N

    Uchafu Tz

    Nimezoea kuskia uchafu na serikali inavyolaumiwa kwa uchafu hasa kwa kipindi cha ujio wa Obama, kinachonishangaza nikuwa lawama na matusi yote yanaielekea serikali, nachojiuliza ni kuwa, usafi huwa haufanyiki nchi hii humo mitaani!. Ni kweli wakazi wa jiji hiili hasa mitaa ya kati hawajawahi...
  3. N

    Mwanzo mgumu lakini mvumilivu hula mbivu

    Miaka mitatu ilopita nilinunua nusu eka pale mlandizi,nikaweka pilipili kali na kuhakikisha hazitegemei mvua, mwaka uliofuatia nikaweza kununua eka nne hukohuko mlandizi, nililima nyanya nusu ya eneo na lililobaki nikaendelea na pilipili, nyanya zinahitaji maji mengi sana kwa hiyo niliziacha...
Back
Top Bottom