Search results

  1. MUGASHA THE HERO

    CHADEMA hawana chao utawala wa Rais Magufuli

    wapeni nafasi ya kufanya siasa bila kuzuiwa then tutajua uwezo wao. sasa ninyi mmewazuia kufanya siasa then mnasenma hawana chao.tumieni akili ccm
  2. MUGASHA THE HERO

    Ipo siku, hili bus litaua watu kwa kweli!

    :p:p:p:p:p:p:p:p mpambalyoto mbishi sana
  3. MUGASHA THE HERO

    Ushauri kwa huyu mwenzetu, muda wowote anaweza jiua

    Habari za mchana wana jf Tarehe 19/11/2016, siku ya Jumamosi kulikuwa na mahafali ya chuo kikuu flani (jina linahifadhiwa). Nilifanikiwa kufika chuoni hapo kusherehekea na mdogo wangu. Sherehe ilikuwa nzuri mpaka mwisho, muda wa sherehe ulipokwisha nilimuaga mdogo angu na kuanza kutoka getini...
  4. MUGASHA THE HERO

    Hali ni mbaya wajameni

    sasa hivi mpaka vijijini watu wanalia na njaa ya pesa
  5. MUGASHA THE HERO

    CCM wamwekea Lowassa mazingira mazuri ya kuingia Ikulu!

    Wadau japo tunapenda huyu mzee tutambue tume ya uchaguz ipo chni ya ccm. Polic wapo chn ya ccm, wakurugenzi wote ni makada watiifu wa ccm. Hv tunategemea nin hapo?
  6. MUGASHA THE HERO

    Bodi ya Mikopo kuwafikisha Mahakamani wadaiwa sugu 142,470 kama wakishindwa kulipa ndani ya siku 30

    miaka yote walikuwa wapi? saa hivi wamefulia mpaka wanakuja na hizi mbinu zao. hata hivyo huo ni muendelezo wa matamko hewa
  7. MUGASHA THE HERO

    Hili la Makonda lilinishangaza zaidi

    huyu anastahilin kuwa konda kama jina lake linavojieleza. hizo nafas za appointment letter ni shida sana
  8. MUGASHA THE HERO

    Mchezo wa kabaddi

    :(:(:(:(:(:( huo ni mchezo gan?
  9. MUGASHA THE HERO

    Mchezo wa kabaddi

    mbona maoni yako hayaendani na post yangu? basi ungefungua thread yako ili upost hayo maoni. ni ushauri tu
  10. MUGASHA THE HERO

    Mchezo wa kabaddi

    mbona umejibu kwa kupanic? mimi nimeuliza kwa lengo la kueleweshwa kuhusu huu mchezo
  11. MUGASHA THE HERO

    Hatutaweza kupiga hatua kama siasa haitatenganishwa na utaalamu /utendaji

    upo sahihi kabisa. Tz tuna tatizo kubwa sana. mfano ni ishu ya elimu ieazwa siasa sana
Back
Top Bottom