Search results

  1. mzama chumvini

    Computer4Sale Nina Shida Nauza Laptop Yangu 150,000/=

    Kwema Wana Jf Nimetingwa Kidogo, Nahitaji Pesa. Nauza Laptop Yangu Toshiba C660 Specification: Processor: Core i3 (2.4Ghz) RAM: 2GB HDD: 320GB Screen Size: 15.6 Battery Life: 1 Hour Tatizo: Kama Uonavyo Kwenye Picha Keyboard Imekufa, Kariakoo Mpya Wanauza 45k Nishaulizia Tunaweza Kwenda...
  2. mzama chumvini

    Kama ninapata Tsh 20,000/= kila wiki, ipi ni namna bora ya kuiwekeza, nipate faida?

    20k Per Week, Means Unapata 3000 Kila Siku???? Sio Mbaya Maisha Mdogo Mdogo Pambana
  3. mzama chumvini

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kila Nikibet Naliwa Ila Nafurahi Sana Nikiingia Humu NakutavWatu Wana Mikeka Imetiki, Moyo Wangu Huwa Unafarijika Sana.
  4. mzama chumvini

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kimbia Chap Mpe Kona Norwich Over 4.5 Odds: 2.8
  5. mzama chumvini

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Parimatch Live Norwich Total Corner Over 4.5 Odds: 2.8 Tukutane Kwa Wakala
  6. mzama chumvini

    Samsung j5 haisomi line

    Nishafanya Hizo qkazi Kama Mbili But Inshort Hizo Simu Zina Mawenge! Peleka Kwa Fundi Kuna Jumper Atatkiwa Aweke Kutoka Kweny Body I Connect Na GSM Antenna Tatizo Litaondoka Otherwise Ni Software Issues
  7. mzama chumvini

    Msaada Mafundi Simu Na Mnaofahamu Bei Ya Soldering Station Na Zinapopatikana Dar.

    Sawa Na Asante Sana Mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mzama chumvini

    Msaada Mafundi Simu Na Mnaofahamu Bei Ya Soldering Station Na Zinapopatikana Dar.

    Nipo Mtwara Mkuu! Vp Kwa DSM Vinapatikana Wap Na Bei Chin Ya Hapo Hakuna!!!?? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mzama chumvini

    Msaada Mafundi Simu Na Mnaofahamu Bei Ya Soldering Station Na Zinapopatikana Dar.

    Mkuu Kwa Mafundi Simu Na Mnaofahamu Ninapoweza Kupata Hicho Kifaa Na Bei Zake Kama Mtojali Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mzama chumvini

    Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

    Bibi Mimi Jina Langu Linajieleza Fanya Tu Mpango Nikuzamie! Maana Nasikia Mnakuwaga Na Maji Mengi Sana Nyie. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mzama chumvini

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nishajilipua Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mzama chumvini

    Kwa taratibu za mazishi za Waislam nawapa kongole

    Unapomsalia Mtu Akifa Unamsidia Nini!?? Anapunguziwa Dhambi??? Kumkumbuka Mungu Sio Tu Kwenda Kanisani Bro! Unawwza Ukawa Unaenda Kanisani Kutafuta Mademu Au Kuonyesha Uko Na Mungu Lakini Matendo Yako Ya Kinafiki! Ndio Maana Muslim Wenzetu Hawataki Kujua Wew Ulikuw Unaenda Masjid Au Huend! Wao...
  13. mzama chumvini

    Kwa taratibu za mazishi za Waislam nawapa kongole

    Kama Anashiriki Ibada Halafu Ni Kahaba Anajiuza Mtamsalia Sio??? Acheni Kuhukumu Watu Kisa Hamuwaoni Ibadani Lakin Nyie Mnaonekana Ibadani Mnaoana Humo Humo.
  14. mzama chumvini

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Liverpool Anapiga Kona Nying Kipind Cha Kwanza Odd 3.20 Utanikumbuka Sent using Jamii Forums mobile app
  15. mzama chumvini

    Nauza Laptop Ya Ufundi Bei Chee: Ikiwa Na Setup Za Windows Zote, Ubuntu, Software 150+ Na Boxes Za Kuflashia Simu Cracked 40+.

    Bartery Zima Mkuu! Tunawez Tukalichaj Tukakaa Wote 3hours Then Tufany Biashara Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom