Search results

  1. Likasu

    Ni kweli wanaotumia simu za Android wako hatarini kudukuliwa?

    Hivi mimi Likasu Pangu Pakavu nalinda nini kwenye simu ? Waidukue tu.
  2. Likasu

    Mke wangu kaniambia wana ndoa sio lazima waishi pamoja, kahamia Dar lakini sijui anaishi wapi!

    Kufupisha maelezo hapo hakuna ndoa. Wewe ni Mtumwa wa ndoa.
  3. Likasu

    Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

    Hiyo number 15 umetupaanga kabila la Wasmbaa ndio washamba zaidi labda ungesema Wadigo.
  4. Likasu

    Kodi kubwa zinawanyima fursa Watanzania kumiliki Simu bora na za Kisasa

    Wafanyabiashara % kubwa sio wakweli kodi za simu zilipoondolewa tuliendelea kupigwa bei ya ile ile.
  5. Likasu

    Mnaotumia TECNO smartphone, ni aina ipi unatumia unajisikia raha ya simu?

    TECNO nzuri ni hizi za tochi tu, smart phone hamna kitu.
  6. Likasu

    Nauza harddisk 4TB

    Taja bei na location.
  7. Likasu

    Nataka kubadilisha kioo display ya simu ya samsung A30

    Nina swali nje ya mada kama betri 4000mAmp imekufa, je nikitaka kubadilisha battery naweza weka battery ya 5000mAmp kwenye simu hiyo hiyo?
  8. Likasu

    Samsung S23 imeboreshwa kitu gani?

    kumbuka wamekuja na camera ya 200MP
  9. Likasu

    Samsung S23 imeboreshwa kitu gani?

    Habari, Kila nikifuatilia tangu uzinduzi wa samsung s23 jukwaa limekua kimya sana kuhusu hizo simu mpya. Kwa maoni yenu je, Samsung wameboresha katika upande gani wa hizo simu? Au hakuna mabadiliko makubwa kulinganisha na s22?.
  10. Likasu

    Naomba code za kuitest simu kama ni original au fake

    grass (countable, uncountable) Any plant of the family Poaceae, characterized by leaves that arise from nodes in the stem and leaf bases that wrap around the stem, especially those grown as ground cover rather than for grain.
  11. Likasu

    Msisahau ku-update Android zenu kwenda Android 13

    Sisi wengine simu zimeshagonga mwamba hazipokei tena android upgrade.
  12. Likasu

    Mshahara wa polisi miaka ya 70 na 80 ulikuwa kiasi gani?

    Unazungumzia askari wa cheo gani ndugu? Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
  13. Likasu

    Una wasiwasi wa kupoteza email yako

    Niliwahi kusahau password yangu ya email ya Hotmail ambayo nimeifungua mwaka 2001. nilifanya jitihada kutosha kuirudisha lakini ikashindikana. Lakini cha kushangaza mwaka wa juzi nikakuta ipo free nikajisajili upya. Nikagundua kua emali isipotumika muda mrefu baadae inaachwa free ingawa huchukua...
  14. Likasu

    Mitandao ya simu: Tunaomba option ya kuhamisha muda wa maongezi kwa mwenzako

    Mada ni nzuri, unaleta mzaha. Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
  15. Likasu

    Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

    Wataalam hii imekaaje kwa mtazamo wenu itakuja kutuondolea shida ya gharama na network coverage/speed. Au maumivu yatakuwa bado yapo palepale? Source: bbc swahili. Huduma ya mtandao ya Elon Musk ya Starlink inatarajiwa kupatikana nchini Tanzania katika robo ya kwanza ya 2023, huku wachambuzi...
  16. Likasu

    Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

    Huyu jamaa maharage ya ukweni watu walimdhihaki sana alipoleta uzi. Kuna watu wamebarikiwa haya mambo. Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom