Search results

  1. S

    Hongera Dr. Mwakyembe, hongera TRC

    Hongera Dr. Harrison Tunahitaji watu mfano wako wa kuamini kuwa inawezekana na kujitahidi kuonyesha vitendo utekelezaji wa sera ! badala ya malumbano na malalamiko.
  2. S

    Utajiri wa Kamanda Barlow Unatisha! Soma hapa...

    Kweli Uadilifu ni bidhaa adimu !
  3. S

    Jahazi limezama huko tanga kafa mtoto na watu saba waofiwa kufa maji

    Mungu Tunusuru ,ilikuwa bora kuzuiwa usafiri yako wa lazima mpaka upepo upungue,hali ya hewa wapo wapi !.
  4. S

    Porojo za Wassira kuhusu Dr. Slaa

    Ni sawa kwa Dr. kwani msomi ni mtu huru na si mfungwa. Anaweza kufanya hayo kwa uelewa wake mpana , ila angalizo tu ni kuangalia taswira anayoitoa kwa jamii, kwani jamii inajifunza kwake. Watanzania wengi kiwango chao cha elimu na uelewa si kikubwa hivyo.
  5. S

    Lowassa mgeni rasmi harambee Jimbo Katoliki Ifakara

    Mikakati mizito na baraka za kanisa ,mambo poa,nilimuona pia katika maulid day,ana mikakati,
  6. S

    Lowassa mgeni rasmi harambee Jimbo Katoliki Ifakara

    Huyu jamaa lazima achukue
  7. S

    Baraza la Iddi: Mahakama ya Kadhi ni suala la Waislamu wenyewe - Kikwete

    wajameni kwani mahakama itakayowahusu waislamu na masuala yao bila kuingilia uhuru wa watu wa dini nyingine ina ubaya gani?,au wakristo wanahisi wataathirika na nini?,nadhani ni bora tusikilize chimbuko la machungu na ghadhabu za upande huu!,
  8. S

    Job Ndugai Umetukatisha Tamaa

    poleni sana,wawajibikaji wapo na mnawajua,wachagueni
  9. S

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    kwani hatuna watu wapya hata nje ya"currentsystem"?
  10. S

    Meya Masaburi avunja Bodi ya DDC; Inaongozwa na Zungu

    Ni vema migogoro hii ipelekee manufaa kwa wananchi waliosahaulika,huenda mengi yataibuka na kuwa chanzo kwa haki kupatikana.
  11. S

    Natafuta muchumba wakuwowa

    duh,pole ila wakristo hawaoi wake wawili,nashauri upate ushauri kwa viongozi wa dini,
  12. S

    Bora wakati ule tulipokuwa na Rais Lowassa

    isije ikawa ombwe hili linaonekana zaidi kutokana na kupanga mbinu za kumwangusha Rais,ili tu ionekane kuwa fulani anafaa .Mungu ibariki Tanzania
Back
Top Bottom