Search results

  1. T

    Internet ya TTCL Mobile na na bei Internet bundles kwa ujumla

    Hawa hawana lolote hawafuati nyakati ! Bei zao labda watumie wenyewe kwa mfano mb 150 elfu 15000/= wakati wengine ni elfu 2500 ! ! Watabaki hivyo hivyo !!!
  2. T

    Toshiba Satellite A210-S5837 Motherboard !!! With AMD Turion 64 !!!!

    habari wadau Mimi nimetafuta sana hii motherboard ya hiyo mashine hapo juu!! naona hapa dar motherboard nyingi ni za Intel chipset !!! hi ilikuwa na tatizo la display vga !! kwa anayejua naomba anijuze tafadhali !!!
  3. T

    Ni modem gani nzuri kati ya HUAWEI na ZTE?

    HUAWEI ni bora zaidi !! yenyyewe inashika 3G na high speed but ZTE hazina power mara nyingi ukiwa mbali na town zinashika edge au high speed kwa mara moja moja !!
  4. T

    Airtel SuperSonic Speed 5Mb/Sec !!! Ukitumia Ubuntu !!

    Duuh !! hawa jamaa wapo poa kwa hizi modem mpya Za huawei !! na sio ZTE wamechesha !! ila kwa hizi wapo poa !! mi naishi maeneo ya kibamba karibia na kibaha Ila speed ndo hiyo !!
  5. T

    Promotion ya Airtel, Chali! Voda free internet kwisha kazi!

    400mb bado ipo wakuu ila wameboresha !! juc dial *154*44# utapata menu !!
  6. T

    how to remove master password on harddisk

    i mean ya HDD..!! thnx ur such a help!!:poa:poa
  7. T

    how to remove master password on harddisk

    i mean ya HDD..!! thnx ur such a help..!!:poa:poa
  8. T

    PC/Laptops : Games !! haya kwa wapenda games!!

    usijali mkuu kesho ntakuja na maelezo yote kwa wanahitaji.!! .....ila kwanza nataka nione watu wana hitaji ..kweli..!! najua kudownload games kama hizi kwa watu wengi ni kazi ngumu ...na pia gharama kubwa....!! dats why...nashare hii na wanaJF ...wenzangu..SHARING IS CARING..!!!:juggle:
  9. T

    PC/Laptops : Games !! haya kwa wapenda games!!

    habari zenu !!! kwa wale wapenda games........... GAMES AVAILABLE..!! 1. RACING GAMES. -Need For Speed: The Run Full: 15.0 GB Graphics, Speed.CPU (released 15.11.2011) Minimum System Requirement: 512 MB RAM ATI RADEON 4870 OR BETTER 512 MB RAM NVIDIA GeForce 9800 OR BETTER (Graphics) 2.4 GHz...
  10. T

    how to remove master password on harddisk

    Hard Disk Password » LaptopTips nijaribu kuchek hapa !! mh!
  11. T

    how to remove master password on harddisk

    hamna....it only giv u option ya kuingiza password..!!....ofcoz nimetoa cmos battery n do ol options.....nothin ..!@!
  12. T

    how to remove master password on harddisk

    habari wakuu heshima nyingi...!! nina hard disk yangu....ilikuwa kwenye laptop dell latitude D630.. ikawa haiwaki...katika kuichek nikajua ram ndo tatizo nikabadilisha......ila after changing it inawaka but inaishia kwenye bios....this HDD is protected by password authentication sytem. you can...
  13. T

    Airtel internet service...(bundle recharge)..!!!

    salamu wakuu.....!! najua wadau wote mnapatikana hapa>>> airtel kama inawezeka...kwa sisi watumia wakubwa na internet....twaomba kama mtu ukitaka kuongeza bundle ....uweze sio mpk uliweka imalizike....then kama kuna credit ktk line na inatumika bila kujua..nawakilisha >!!
  14. T

    seeders and leechers

    if you're using one of the torrent- downloader software, as a downloader, you're basically a "leecher". after you've downloaded the file, and leave it on, this becomes available for other users to download (thus "sharing" occurs), you are basically a seeder. so normally, having many seeders for...
  15. T

    Natafuta Microsurvey CAD na 12 D (twelve D) Software.. wahandisi n JF wadau...!!

    habari zetu wana JF....nimejaribu kucheki huku kule ....naona niombe msaada hapa ......ebu tusaidiane katika hili wadau..!!
  16. T

    Kibano cha Ngeleja Bungeni: Hotuba ya Madini na Nishati 2011

    nimefurahiz sana kwa huyu mama kwa kuona hilo..!! kwani hii ni njia tuu ya mafisadi kuiba hela....!! kwa kweli sijui....tunaenda watu..!! source BUNGENI DODOMA LIVE NOW>>!
  17. T

    how to UNLOCK MODEM HUAWEI EC122 (TTCL)

    mh wadau hapo nimecheka mh naomba idea jamani..!!
  18. T

    Tatizo za toshiba laptop..!!!

    pamoja na hilo hili tatizo lipo sana kwa toshiba........sasa cjui wameshindwe kudeal nalo....
  19. T

    Tatizo za toshiba laptop..!!!

    mwanzo ilikuwa inakubali na kusema cant get out of hibbenation..........solution update bios....but i tried to download n updates./...ckufanikiwa....lakini kweli ngoja nijaribu kuchek vga asante mzee kwa idea....hivi hapa mjini toshiba hawana technical support.../technician??????????????????
Back
Top Bottom