Search results

  1. S

    Rasta za barabara ya Bagamoyo zinakera

    Rasta barabara ya Bagamoyo eneo la kuanzia Baobab, Kibosha, Mapinga shule hadi Kerege CCM ni kero kwa magari. Ziwekwe alama nyingine za tahadhari kwa sasa.
  2. S

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Samahani. Nataka kujua taarifa zangu za hisa. Sikuhudhuria mkutano wa wanakosa.
  3. S

    Tatizo la maji Bagamoyo

    Ok. Nafanyia kazi ushauri wako Lebai.
  4. S

    Tatizo la maji Bagamoyo

    Ununio maji yamekatika siku ya 4 leo, yalikatika jumatatu jioni na bomba lkubwa !ndio hilo hilo la bagamoyo
  5. S

    Tatizo la maji Bagamoyo

    Asante. Mimi mpiga majungu... Matumbi na. Kerege CCM. Kwa ufupi nimepiga simu nikaambiwa umeme ni tatizo kwenye mtambo. Unawaka na kukatika. Hebu angalia historia Yangu huko nyuma.
  6. S

    Tatizo la maji Bagamoyo

    Inasikitisha hii nchi
  7. S

    Tatizo la maji Bagamoyo

    Unafikiri the tallest?
  8. S

    Tatizo la maji Bagamoyo

    Baada ya siku tano mpaka leo tar. 24 Oktoba maji hayatoki hususani eneo la Kerege CCM. Sijui maeneo mengine. Meneja bagamoyo ufafanuzi tafadhali. Nimeuliza wanasema ni tatizo la umeme kwenye mitambo. Hivi gesi ya mtawra inafanya nini? Inaudhi unatoka kulitumikia taifa unarudi nyumbani unakuta...
  9. S

    Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    Nina simu micromax imezima ghafla baada ya kuchaji kwenye solar charger DC. Msaada tafadhali
  10. S

    Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

    Niliacha miaka mingi sana kuangalia kituo hicho. Nawasikitikia wale wanaopeleka matangazo yao hhuko, .
  11. S

    Tafakuri: Rais Magufuli hakutafakari kuhusu suala la kurudisha machinga katikati ya mji

    KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YA MKOA NA WILAYA INATOA TAARIFA YA HALI ya USALAMA YA WILAYA NA MKOA KILA SIKU KWA MUDA MAALUMU KWA RAIS,. NAAMINI HATA KABLABYA ZOEZILILE KUFANYIKA, MKUU ALIKUWA NA TAARIFA KUWA ENEO MOJA NDANI YA NCHI YAKE KUNA jambo LINAFANYIKA DHIDI YA RAIA LIKIWASHIRIKISHA...
  12. S

    Kikwete na kuhuisha mishahara ya walimu

    Ila ccm isitegemee kura yangu. Sijawahi Wala sitawahi kupigia kura chama cha wazalisha mafisadi.
  13. S

    Kikwete na kuhuisha mishahara ya walimu

    labda wa kenya. Nilikuwa na take home laki 6 na point bbaada ya ongezeko nina kama 8 na point. Kwa
  14. S

    Msaada: Nilipotelewa na Bag langu ndani ya basi la Abood

    Pole sana. Ukiwa unasafiri na mabasi yoyote jaribu kuwa makini na mizigo yako hususani begi za laptop n.k wakati was kwenda kula beba na hata wakati was kuchimba dawa pia.
  15. S

    Alia hadharani hakupiga kura ya Ndio katika Katiba

    Ibaki katika historia ya Tanzania kuwa Mwenyekiti wa bunge la katiba 2014 na raisi wa awamu ya tatu J.Kikwete walilazimisha upatikanaji wa rasimu ya katiba. Ili vizazi hata vizazi vifahamu udhalimu was ccm. Kwa sasa tusubiri mtaani kura ya maini.
  16. S

    Dodoma: Wanahapana wagoma, Kamati yaachwa marikiti

    Nina furaha ya ajabu Mtanganyika mie. Aibu yao. CCM polisi. Wamezuia maandamano huru kweli yawaumbua
  17. S

    Manufaa ya kujiendeleza kielimu kwa watumishi wa umma hapa Tanzania

    Ni mhanga wa jambo hilo. Sijapata stahili zangu. Nilijiendeleza diploma; degree. Mpaka sasa ni sheeda. Ninachokifanya ni kutumia muda mwingi as self employed ktk shughuli zangu badala ya kuifanyia kazi seriali hii dhalimu. Falsafa Yangu ni time is money. Nimepiga hatua ktk hilo na ninaweza...
  18. S

    Mnyika: Ratiba ya maandano kutoka makao makuu kutolewa

    . We mnjanja au kanjanja.
Back
Top Bottom