Search results

  1. J

    Makamba: Msifadhaike!

    Alishindwa kuoingea ukweli, hata Mwenyekiti wao JK ni gamba. Tofauti yao kubwa ni aina ya magamba. Makamba ni gamba la juu, JK ni gamba ambalo limeshikana na ngozi kabisa. kulivua ni kukiacha chama bila ngozi, TOTALLY DIED. BUT THE DAY IS ON THE WAY!!!!!
  2. J

    Slaa awalipua Rostam, Riziwan

    Hata gari ambalo huwa kwenye mwendo kasi mkali sana, lipapatwa na kitu ambacho kitalilazimu kisimama, hata kama dereva ni mtaalamu kiasi gani, hawezi kumudu kulisimamisha gari hilo hapo hapo lilipotakiwa kusimama. lazima litasimama umbali fulani utoka eneo la tukio. CCM imefika mwisho.Lakini JK...
  3. J

    Hivi ilani ya JK na chama cha magamba (CCM) inatekelezeka!?

    kwa mujibu wa takwimu ambazo zilipatikana wakati wa kampeni za uchaguzi uliomalizika kwa jk kuambulia 61% baada ya uchakachuzi, ilisemekana kuwa ahadi za ccm zilifikia thamani ya fedha za tazania zaidi ya trilioni 90. Ukipiga mahesabu ya haraka haraka, bajeti ya tanzania kwa mwaka sio zaidi ya...
Back
Top Bottom