Search results

  1. contact

    Diamond anyakua tuzo 3 zinazotolewa na Chomva 2014

    chuki za wazi wazi ...imba wako af ukashinde...ety viewers nying sio kila anawatch vid ndio kaipenda ..
  2. contact

    Lema: Dhambi kubwa kuliko zote duniani ni dhambi ya woga

    kumbe bibilia iyo isharekebishwa mara kibao me nafata Quraan ambayo haijafutwa hata herufi tokea ishushwe feel sorry for you broo
  3. contact

    Mh Sugu bado anafikiri yuko kwenye BongoFleva?

    wote wana makoosa ila tukae tukijua binadamu kawaida kukosea na mtu msomi haoni tabu kukosolewa tusipindishe ukweli kisa huyu ccm na yule cdm
  4. contact

    Lema: Dhambi kubwa kuliko zote duniani ni dhambi ya woga

    Dhambi kubwa kuliko zote ni ushirikina na sio uwoga usipotoshe jamiii
  5. contact

    Hali ni Tete, Mabomu Yameanza Kurushwa Tena Jijini Arusha

    Tatizo ni nini kwani ? Mbona amani imetoeka tanzania Mungu ajaalie kheir
  6. contact

    Hivi mbona simsikii Dk. Shein akizuru Ulaya? Au hajui kingereza?

    Mayb safar zisizo na ulazimu pesa huwa anaibank itamsaidia bdae na wanawe kama anao
  7. contact

    Kwanini CHADEMA wanashabikia muungano uvunjike?

    Me nahis muungano utakufa ccm tanganyika wakibwagwa chini na cdm ..kitaeleweka 2015 mbivu au mbichi
  8. contact

    Mipaka ya asili ya zanzibar

    Tanzanzia kushneii.. Ndo bas tena mizozo imeanza bado vita sasa tuwapishe wenye akili wachote rasilimali ..
  9. contact

    Ni mwanasiasa gani anaekuvutia katika siasa zake?

    Kwa chadem zitto huyu jamaa anajua kwa cuf maalim ..ccm nawapotezea
  10. contact

    Nani kurithi deni la taifa baada ya katiba mpya?

    Kuna kazi kubwa mpaka kieleweke Tanzania.. Ila nusra ipo karibu naamini hvyo
  11. contact

    Muundo wa Muungano: Tanganyika tunataka 'Serikali moja, nchi moja, taifa moja'!

    Swali kwa viongozi wa tanganyika kama kweli zanzibar haitaki muungano kwanini muwanganganie na kama hakuna uchumi mzuri kwanini hizo pesa msisaidie walala hoi wenu ? ..Kunanini zanzibar mpaka muwanganganie jibuni hoja?
  12. contact

    Muungano; Tanzania inaenda zake Wazanzibari wata itamani irudi na haitarudi ng“o

    Maisha hupangi wewe hakuna anaejua ya mbele la zaidi kama kweli tunapendana ni kuombeana kheri sote sio kutofautiana kisa siasa tuacheni hayo tuomben amani tu
  13. contact

    Wako wapi waliodai Tume ya Katiba haina weledi na wala si huru!??

    Nape una miaka mingapi? Umri wako halisi nahis akili bado haijapea vizuri
  14. contact

    Jaji Werema 'kupasua jipu' la Tanzania Bara!

    Me nakumbuka kabla ya kuungana na znz. Tanganyka ilikua na katiba yake sasa ukisema tutengeze katiba yetu itakua kumbe znz haikuungana na nchi bali iliungana na pori fulani 2 ivi .katiba ya tanganyika ipo 2sipoteze muda kujadili hilo bila katiba mbili kusingekua na muungano ..Tanganyika oyee...
  15. contact

    Zanzibar kesho itapata uhuru wake

    me nadhani wachague nchi ndogo nyengine kama burundi au rwanda wakiwadhulumu tuone kama patakalika dadadeki
  16. contact

    Zanzibar kesho itapata uhuru wake

    maswala ya kua na nyumba nje ya nchi yako ni kosa siku hizi?
  17. contact

    Toa maoni kuhusu kilichoandikwa kwenye hii picha

    duuuuuuuuuuuuuuh huyu mkewe shein mfupiiiiiiiiiiiiiii hajagusa chini miguu imeninginia sorry nipo njee ya mada
  18. contact

    Zanzibar: Mkutano wa leo ni sehemu ya fujo ktk nchi yetu.

    atakaepinga hija yako basi hajielewi anataka nini
  19. contact

    Vurugu kati ya CHADEMA na CUF juu ya USHOGA zasababisha Bunge kuahirishwa

    kwa halii hii bunge linavoenda ...mtoto wa mkulima atarithi jembe tu
Back
Top Bottom