Search results

  1. TIQO

    Mwaka mmoja talaka 1600

    Huko zenji toka Mahakama ya kadhi takwimu zinaonyesha mwaka mmoja hukumu za ndoa zimetoka name zaidi ya ndoa 1600 zimevunjwa kwa talaka.
  2. TIQO

    Jela miezi 6 kwa kuitelekeza familia

    Mwalimu Osca wa shule ya msingi Namanyere mkoani Rukwa amehukumiwa jela miezi 6 baada ya kuitelekeza familia yake na kuhamia kwa kimada, akitoa hukumu mheshimiwa hakimu alimwambia mkosaji akitoka jela alee familia yake yenye mke mmoja na watoto 2.
  3. TIQO

    Liyumba: Kesi ya kukutwa na simu nimebambikiwa

    Na Tausi Ally, Mwananchi Dar es Salaam. Mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA), Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba anayekabiliwa na kesi ya kukutwa na simu gerezani, ameiomba mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imfutie shtaka hilo na kumuachia huru kwa madai kuwa kesi hiyo...
  4. TIQO

    Jihadharini na matapeli msiba wa Madiba

    FROM THE DESK OF BCom, BCompt (Hons), CA (SA) First Rand Limited and First Rand Bank FirstRand GREETINGS, I am Mr. Kgotso Buni Schoeman, BA Economics Advanced Financial Management Diploma is Non Executive Director of Firstrand Ltd.and also currently CEO of Kagiso Trust. I am writing to...
  5. TIQO

    Nimeamua kuhama nyumba maneno maneno ya mama mwenye nyumba

    Nimeamua kuhama nyumba niliyo kuwa naishi baada ya mama mwenye nyumba kunizushia ya kunizushia wakati sijawahi hata ingiza binti kwenye ghetto langu, nikaamka saa 3 maneno, nikirudi saa 2 usiku maneno nikirudi saa 5 usiku maneno, nikijipikia ugali na nguru maneno yaani shida tupu huyu mama...
  6. TIQO

    CCM wamejipanga kwenye mitandao ya kijamii

    Ni dhahiri shahili CCM kuelekea ukingoni mwa mwaka huu wamejipanga kwenye mitandao ya kijamii kupiga propaganda, ni kweli sasa hivi CCM inatumia vijana kwa vibibi kwenye mitandao ya kijamii kupiga propaganda na kupotosha umma, kwa hili naona wamefanikiwa kwa kiasi flani kufanya siasa kwenye...
  7. TIQO

    CCM wanatumia watoto wadogo kwenye siasa

    makada wa CCM wakiwa wamembeba juu mwenyekiti mpya wa chipukizi mkoa wa Iringa kamanda wa UVCCM mkoa wa Iringa Salim Asas kushoto akimkaribisha mwenyekiti wa chipukizi mkoa Enock Luhala mara baada ya kutangazwa mshindi katika uchaguzi mkuu wa Chipukizi mkoa Kamanda wa UV CCM...
  8. TIQO

    Wanawake Zanzibar waandamana

    Wanawake toka visiwa vya Unguja na Pemba wameandamana kupinga wanawake wa kutoka Tanga kuwaibia wanaume zao. Wanawake hao wamedai waume zao wakinaswa kwenye mapenzi kwa wanawake toka Tanga basi waume zao wanazamia moja kwa moja na kusahau wake zao majumbani. Source: mm mwenyewe nimeshuhudia...
  9. TIQO

    Gazeti la Tanzania Daima laadimika mitaani

    Leo gazeti la Tanzania Daima limeadimika mitaani nimezunguka vibanda vya kuuzia magazetik.koo, Mnazi mmoja, Baridi, Akiba, Stesheni nijipatie nakala nimekosa naambiwa nakala zimeisha.
  10. TIQO

    Live updates: Yanga v/s Jkt Oljoro, Azam v/s Mbeya City

    Leo ni burdani ya kufunga mzunguko wa kwanza. Taifa kutakuwa na hitimisho kati ya Yanga v/s Jkt Oljoro saa 10:00 jioni. Chamazi kutakuwa na wababe hawa wanaongoza ligi kati ya Azam v/s Mbeya City saa 10:00 jioni. Sijajua Azam TV wataonyesha game ipi. Kwa updates zaidi ni hapa hapa JF...
  11. TIQO

    Wanahabari Iringa wakana kuhongwa na CCM

    Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Iringa Frank Leonard kulia akitoa msimamo wa wanahabari dhidi ya gazeti la Rai na mbunge Msigwa leo ,kushoto ni katibu mtendaji wa IPC Francis Godwin Wanahabari Clement Sanga kushoto akiwa na mwakilishi wa New habari {2006}...
  12. TIQO

    Wadau wametoka kula Nondoz

    Baadhi ya wahitimu wa chuo kikuu cha Iringa (Tumaini) ambao majina yao hayakuweza kupatikana mara moja wakitumia usafiri wa punda kwenda chuoni katika mahafali yao kama walivyonaswa na mtandao huu wa matukio daima juzi eneo la Kihesa Minyarani katika barabara ya Iringa -...
  13. TIQO

    Zlatan uzalendo na hisia zi/ukiwa zi/umemzidi

    Huyu ni staa wa mpira aitwaye Zlatan Ibrahimovic akiwa katika wakati mgumu baada ya mzigo wake kuvimba akiwa uwanjani… Taarifa zinaarifu kuwa, mzigo huo ulivimba baada ya mchezaji mwenzake kumkumbatia kwa nyuma..
  14. TIQO

    Sura ya Mbuzi

    Tupia maneno juu ya picha hii
  15. TIQO

    Natafuta Clinic ya Mabusha

    Wakuu mpwa wangu anasumbuliwa na busha sana tu natafuta Clinic nimpeleke wakampasue ili apone yupo Dar nataka nijue na bei zake za upasuaji wa busha hilo. Msaada tafadhari mpwa amechoka kujambishwa
  16. TIQO

    Mrembo huyu pasua kichwa

    Mrembo huyu ni mjeda katika jeshi la Nigeria hapa alitii amri ya rais Godluck kwenda kulinda amani kwenye machafuko huko Kaskazini mwa Nigeria dhidi ya Boko Haram. Sipati picha kama hawa jamaa wangekuwa Mabrigedia Katavi, The Boss, Asprin, Kaizer The Finest, Bigirita huyu mtoto angepata tabu...
  17. TIQO

    Kwa Wazarendo tuma meseji

    Andika neno HAPANA kwenda 15055 kupinga kodi ya cm 1000 kila mwezi!! Ni bure hukatwi kura zitaonyeshwa ITV tar.3/10/2013 na 4/10/2013
  18. TIQO

    Fumanizi hili Guest house Iringa

    Hapa akiwa amelala hajitambui baada ya kupata kipigo Hapa wananchi wakiwa wanashudia jamaa akimpa kichapo mkewe baada ya kumfumania Picha hii jamaa amembeba mke wake baada ya kumfumania na kumpa kipigo kikali wakielekea nyumbani. Tukio hili limetokea leo asubuhi mida ya saa 8.00,katika mji...
  19. TIQO

    Shabiki wa Man U ajitundika baada ya kipigo cha 4-1

    Shabiki wa Man U akiwa amefanya maamuzi magumu kwa timu yake R.I.P kijana, wenzako akina akina Rooney wanakula bata maisha yanakwenda.
  20. TIQO

    Nape akiwa chini ya mwamvuli wa CHADEMA

    Nape akihailisha mkutano mjini Serengeti baada ya mvua kubwa kunyesha, juu akiwa amejikinga mwamvuli wenye rangi za CHADEMA.
Back
Top Bottom