Search results

  1. M

    Aliyetayari

    Habari zenu waungwana wa jukwaa la mmu, Naamini jukwaa hili kama litaendelea kutumika vizuri litakuwa ni msaada kwa wengi, wanaume na wanawake. Kupitia hapa nimejifunza mambo mengi ambayo mengine huwezi yapata ukiwa shuleni. Kwa mara ya kwanza najitokeza kitafuta msichana ambaye yuko tayari...
  2. M

    Zitto: Nia, Uzalendo na Uwezo wa kuwa Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania ninao!

    hvi bwana zito tatizo nin? kwanini usiache watanzania wakusemee? aibu sana,watanzania tuwe makini na watu wanaojipigia chapuo kuingia ikulu,mr ZITO sasa unajichafua.
  3. M

    Mdee naye amkana Zitto na Urais...

    zito uko poa ila fuata taratibu za ndani ya chama chako.
  4. M

    David Kafulila: Rais 2015 Lazima Atokee Kigoma

    kha ndugu kafulila kweli umefulia.raisi wa tz hapatikani kwa kuangalia umri,jinsia,kabila wala umkoa,shame upon u.
  5. M

    Kwa mara ya kwanza napanga kulishtaki baraza la mtihani ( necta) mahakamani

    Wewe mtoto jipange upya,usisingizie baraza,yaani wewe masomo manne yote makers wanakukosesha kwani wanabifu nawe? Ushauri dont waste time and resources jipange vizur urudie mtihani.
  6. M

    CCM na kifo cha mende

    Hawa watu wana ******* magumu kwerikweri tumewaambia huku hatuwataki wanafuata nini?
  7. M

    UDHAMINI WA ELIMU UGHAIBUNI - MAKULILO, Jr.

    Tumekupata,hebu wa tz tuchangamkie hizi nafasi.
  8. M

    Regia Mtema is No More!

    Wadau hiyo habar inasikitsha lakin ndio ukwel wenyewe,she is no more,now at tumbi hosptal.
  9. M

    Shibuda: CCM imejaa wachumia tumbo

    Du!! Shibuda! Bure kabisa very hope less.hana lolote afadhal ya kinyonga.
  10. M

    Niliyoyafanya tangu niwe Mbunge-Shukrani kwa WanaJF

    Dada regia hongera,angalau robo ya wabunge wangeweza kutoa tathmin ya waliyofanya majimbon mwao kwa mwaka mzima kama ulivofanya ingekuwa nzur sana,good job.
  11. M

    Wahadhiri udom waendelea kulalama na maisha ya kunyanyaswa.....

    Tanzania bila migomo haiendi,yaan wanasubir muandamane kwanza ndo waje kuwaskiza,wamelewa madaraka.
  12. M

    Hamadi Rashid afunguka; adai Mtatiro, hajarejesha 'chenji' ya helikopta!

    Skilizen watan wangu wa cuf,hv ni kwel kabisa hamjui ni kwa nin umaarufu wenu umeshuka na utaendelea kushuka zaid kama msipoamka mapema, sababu ni hii ila msiwaambie wenzenu'nyie ni ccm kasoro jinatu.byeeee.
  13. M

    Tathmini ya gharama za maisha Dodoma

    du!! Hii tena kali.
  14. M

    Said Kubenea ni mzalendo, mnafiki au njaa inamsumbua?

    Mr kubenea songa mbele.
  15. M

    Lowassa ndani ya Star Tv Jumapili

    Wakuu tunaomba kujua itakuwa saa ngap?
  16. M

    Mjadala wa TANESCO kupandisha bei ya umeme kwa asilimia 155

    Haya mambo wameshafanya maamuz serikaln kitambo kuwa umeme lazma upande hvyo hyo kesho hata tuchangie tukiwa uchi wa mnyama watapandisha tu,hil ni sikio la kufa ,tunalalamka posho bungen lakn wap,twalalamika sheria ya mswaada wa katiba lakn wap,hii serikal imechooka.
  17. M

    vijana huku mnapoelekea sio kabisaa

    Teh teh teh kha kwel hii kali,vijana wher are we going.
  18. M

    Ya Lamwai yaweza kumkuta Tundu Lissu!

    Nmeipenda post yako,though its not that much easy to happen.
  19. M

    Hatimaye Prof Mwandosya arejea Tanzania toka matibabu India

    Amenusurika mtego wa kwanza bado mingine kama minne hv.pole sana na karibu nyumbn.
  20. M

    Kwa akina dada na hii mnasingiziwa?

    U ar a great thinker.
Back
Top Bottom