Search results

  1. Nicksixyo

    Wanawake ndani ya sare za vyama wanawapotosha viongozi

    Wadau salamu zenu, Nimekuwa nikifuatilia na kutazama kama sio wakati mwingine pia kuhudhuria mikutano na makongMNo mbalimbali ya vyama vya siasa na kustaajabu sana kwa mambo yanayofanywa na hawa mama zetu. Jambo hili limenifanya hata hamu ya kuendelea kutazama na kusikiliza hoja za viongozi...
  2. Nicksixyo

    Kampeni za mwisho za Monduli na Lowassa

    Hii ndio kampeni ya mwamba wa kaskazini akiwa kwenye himaya yake katika kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa ndani ya mji wa Monduli. Idadi wa wananchi ndio kama uonavyo, wengi wakiwa wameletwa na malori na landrover kutoka mto wa mbu na makuyuni. Watu wanazomea kama kawa. Sare ya chama...
  3. Nicksixyo

    Kuelekea 2015: Tunaomba Daftari la wapiga kura lirekebishwe!

    Haya ni mazungumzo yaliyopo kila mahali kwa sasa na watu/Raia wamekuwa waking'ata kidole kutamani mwaka 2015 ufike wakiwa na uhakika wa majina yao na vituo vyao vya kupiga kura ili waweze kuikomboa nchi kutokana na fikra na mawazo waliyokisha kuyaweka miyoyoni mwao. Haya nimekuwa nikiyasikia...
  4. Nicksixyo

    Waandishi wapigwa ‘stop’ kesi ya Lwakatare;

    Wanahabari walikuwa miongoni mwa watu waliofika mapema mahakamani hapo na kuungana na umati mkubwa wa wanachama na wafuasi wa Chadema kusubiri ukumbi wa mahakama ufunguliwe. Baadaye walitangaziwa kuwa maombi hayo yatasikilizwa ofisini kwa Jaji Kaduri, hivyo askari Magereza waliwazuia waandishi...
  5. Nicksixyo

    Bungeni hakukaliki, kauli za kejeli na kuudhi zatawala

    Dodoma.Baadhi ya wabunge jana waliendelea kutumia fursa ya mjadala wa hotuba ya Waziri Mkuu kurushiana vijembe na maneno ya kuudhi mambo ambayo yalisababisha mivutano ya kikanuni, huku mmoja wao akionya kwamba ikiwa haki hiyo itaendelea bungeni hakutakalika....:frusty:
  6. Nicksixyo

    Pale mwanamke/Wanawake 3 wanapombaka mwanaume 1 tusemeje tena hili katika katiba mpya??Ona Zimbabwe

    Zimbabwean police believe there is a nationwide syndicate of women raping men, possibly to use their semen for use in rituals that claim to make people wealthy. It has taken more than a year for any arrests to be made, and on Monday three women are to go on trial in the capital, Harare, over...
  7. Nicksixyo

    Wanawake bado wapo wanao amini kwamba kupigwa na Waume zao ni sehemu ya maisha halali.

    Asilimia 47 ya wanawake wanakubali kwamba mume ana haki ya kumpiga mkewe pale mwanamke anapozembea kuangalia watoto. Aidha asilimia 29 wanakubali kwamba mume ana haki ya kumpiga mkewe iwapo atakataa kufanya tendo la ndoa na asilimia 20 watapigwa ikiwa wataunguza chakula. Taarifa hiyo imo...
  8. Nicksixyo

    Mafuriko huko Monduli yaleta madhara vifo na uharibifu mkubwa..!

    Hatimae kichaka kimemnusuru asipotee angalao ndugu wauone mwili kwa maziko.
  9. Nicksixyo

    Asiye na mwana aeleke ninii....!!!!????Kweli majuha amnazo..!

    Mitaa ya kati kumwezesha aliyebebwa kuruka njia.
  10. Nicksixyo

    Kumbe Maalim Seif Sharif HAMAD yupo kazini..Nilidhani kalala baada ya kupata sahani ya wali.

    Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad ameanza utekelezaji wa mpango wake wa kutembelea barza za mazungumzo kwa lengo la kuwa karibu zaidi na wananchi. Maalim Seif ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar ameanza ziara hiyo katika barza ya Radio One Darajabovu...
  11. Nicksixyo

    Huko Makumira chuo cha Uchungaji hakufai/Hali ni tete..!

    Kwa habari nilizozipata muda sio mrefu kuanzia jana hadi leo pamekuwa na maandamano na vurugu za wanachuo baada ya mwenzao mmoja kugongwa na gari hapo nje ya geiti ya chuo.Wamekuwa wakiomba serikali isikie kilio chao cha kuweka bansi eneo hilo baada ya kuwepo kwa matukio mengi ya ajali,bila ya...
Back
Top Bottom