Wakati Chama cha Chadema wakifungua mkutano Wao wa uzinduzi wa kampeni ,Mheshimiwa Sumaye akihutubia mkutano huo alisema WATANZANIA wamekuwa wakitishwa na kudanganywa na kutawaliwa na hofu ya wasilolijua , usipotafakari maneno ya Sumaye unaweza uakayapuuza , lakini ukiyatafakari kwa mapana...
Wakati nikifuatilia kipindi cha mahojiano ya TV ya dr Mwakyembe alitokea rafiki na jirani yangu ambaye ni ofisa wa polisi kwanza alimsifu sana mh mwakeymbe kwa uchapaji wake kazi ila akasema kinachomwangusha ni kutoshirikisha mawazo nje yake na hii imekuwa ni tabia ya viongozi wengi wa...
Wana CCM wenzangu wabunge wetu tumewachagua ili mtuwakilishe kutusemea bungeni hakuna ubishi kwamba kuna mambo mengi ya kusema na kuyashuguhlikia kilichotokea leo kwa wabunge 15 wa CCM waliopanga kuzungumza leo lakini wakatokea watano tu wengine mda wao wamewapatia mawaziri wa serikali wautumie...
Mzee mchambuzi bahati mbaya kubwa mtu anapokaribia kufa au akiwa katika hatua ya kukata roho hata mnapomuombea dua au maombi kwa mola wake ampe nafuu ili aweze kuamka na kuendelea na maisha au afe vizuri akiwa ametubu madhambi yake huwa haelewi hajitambui lakini hiyo isitukatishe tamaa kumuombea...
Watanzania wenzangu wana CCM wenzangu leo hii napenda kutoa ukweli mchungu ambao wenzetu hawataki kuusema aidha kwa makusudi ili liwalo na liwe, au kwa woga wa madaraka,au kuogopa kuwaudhi wakubwa au kwa faida ya matumbo yao wasiharibu nafasi na vyeo vyao hivyo wote tupo kimya kila mtu...
Inasikitisha sana hali inayoendelea hapa nchini kwa sasa, kila mwenye kuipenda nchi hii hawezi kuishabikia wala kuikubali kila mwenye kupenda nchii lazima atakuwa ni mwenye huzuni hali ni tete hali inatisha mauaji ya raia hayavumiliki tena,wanaokufa ni kaka baba watoto wajomba rafiki mashemeji...
Unapokuwa kwenye nyumba ya vioo usipige mawe kwenye nyumba ya nyasi, nimeshtushwa sana na kitendo cha bwana mwigulu mchemba kiongozi wa juu kabisa ndani ya safu ya chama chetu kushiriki kumvisha mbwa bendera ya chadema kumbuka huyu bwana na mweka hazina wa chama cheo chake ni kikubwa bahati...
Leo katika bunge nimemsikia mwanasiasa kijana kabisa akisema kwa kujiamini kuwa ana uhakika yeye anao uzalendo wa kutosha na hata kuweza kumudu nafasi ya amiri jeshi mkuu wa Tanzania, wiki iliopita kuna post nilichangia kuwa kuna watu wanamdanganya zito naye ameamini kuwa ni maarufu na...
Habari ambazo nimezipata kwa watu waaminifu zinasema leka tutigite ni miongoni mwa mipango kamambe ya kugombea urais kwa mheshimiwa huyu na sasa hivi amekuwa karibu sana na baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi na governement system wakimuahidi kumsaidia na vikao vingi vimekuwa vikifanywa kumuandaa na...
Ndugu yangu hata kwenye shule nyingi kufikia watoto kukaa chini kulianza na dawati kulegea hadi linavunjika linaangaliwa na mratibu elimu au mwalimu mkuu akiangalia hadi linadondoka pamoja na kwamba kuna shule au watoto ambao hawajawahi kuonja raha ya dawati, ninachotaka kueleza matatizo huwekwa...
Ndugu watanzania wenzangu kwa muda wa wiki takribani mbili nimekuwa nikisikia bungeni kuwa kuna meza imevunjika inayokaliwa na mheshimiwa mmoja, sitaki kupingana na meza kuvunjika kwani uwezekano wa meza kuvunjika au kiti hata kabati ni mkubwa kwani ni vitu visivyo vya kudumu na ndiyo maana...
Nimekuwa nikifuatilia sana mjadala wa kikao cha bunge kinachoendelea hivi sasa bungeni kwa kweli inatia huzuni kubwa kwa spika,naibu spika mwenyekiti Jenista muhagama na bwana mabumba kweli nyote ni janga kwa taifa na msipoangalia mnakaribisha vurugu na nyinyi ndiyo chanzo cha kelele bungeni...
Hakuna jambo baya sana kama uongo hii ndiyo mheshimiwa wassira alisema CCM ni chama cha kusema kweli uongo huzusha hofu nahata tafrani mda mfupi uliopita leo majira ya saa 3:10 asubuhi hii mtoto wa mjomba wangu kanipigia simu kuwa amemuona baba yake kwenye picha hii ya mkutano wa michuzi wakati...
Pole kwa yaliokukuta bwana pasco lakini kusubiri abiria ni jambo la kawaida kabisa, niliwahi kusubiriwa kwa dakika 49 na ethiopia airline addis airport nikiwa na unganisha safari yangu toka dar kuelekea london nilipotelemka kwenye ndege yangu nilipelekwa moja kwa moja kwenye ndege ilionisubiri...
Hongera Agripina ukweli kesi hiiilikuwa haina mashiko lakini pia jaji aliesikiliza kesi hii ni miongoni mwa majaji wachache waadilifu wenye kumuogopa mungu kwa wanaomjua jaji HAruna songoro watakubaliana nami.
MImi ni mtumiaji mzuri wa kindle na nimepata bahati ya kuwa na kila toleo la kindle na hivi sasa ninaitumia toleo jipya kabisa la inaitwa "kindle fire "lakini kwa maoni yangu iPad bado ipo juu kwani Nina matoro yote pia ya iPad 1 hadi 3 "kindle fire" ililenga ku compete na iPad 2 lakini haijafua...
Mheshimiwa raisi wangu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, nasikitika kukwambia kwa unyenyekevu mkubwa sana ukiambatana na heshima kubwa sana haswa nikitambua wewe ni raisi wangu na mbali na hilo ni mwenyekiti wa chama changu nikipendacho cha CCM.
Ninakukuandikia leo kama nikiwa mtanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.