Mimi sijui ni upungufu wa mawazo fikra au nini haswa?
Au ndo tuseme ni kulizika na hali au nini hasa?
maana nashindwa kuwaelewa mtanzania na watanzania wa aina yako au kwako maisha yamekuwa mepesi kiasi gani kwako?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.