Search results

  1. nyang'ari

    Division three [25] ya shule ya kata VS division one [8-17] Feza zikikutana chuoni

    Tupe data mfano mtu flani, chuo flan mwaka flan, alisoma shule flan, muache uzushi
  2. nyang'ari

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Weka namba kigoma mjini yupo wife nataka nimlete Mwanza
  3. nyang'ari

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Kama hujui nyamaza acha kudanganya watu SMG means sub-mashine gun, inaitwa sub sababu inabadili mapigo tofauti na SAR ambayo ni semi automatic riffle ambayo ukipiga lazima ukoki tena ili upige.
  4. nyang'ari

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Hivi unajua kama watu wanataka kukuibia alafu wakajua kuwa una bastola, hatua ya kwanza ni kuuawa ili usimzuru yeye hivyo ni bora usiwe nayo ili hata akitaka Mali kwako anaweza kuchukua alafu akakuacha
  5. nyang'ari

    MAAJABU: Nyoka afa na mmiliki wake Songea

    Kwa watu watokao sehemu za iringa, njombe, mbeya na songea ni vitu vya kawaida kusikia hela za manyoka, hiyo nyoka ndiyo mpango mzima wa kuleta hela ndani, inafungiwa kwenye chumba special na anayetakiwa kuiona ni muhusika tu, kwa mwezi anaingia chumbani mara moja utaikuta imevimba imejaa hela...
  6. nyang'ari

    Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    Pole sana ila utapata mchumba mzuri atakayejali hisia zako humu humu jf, weka namba yako tu.
  7. nyang'ari

    Mzungu amlazimisha mwafrika kuingia kwenye jeneza ili amuue

    Umaskini unapelekea akili kudumaa eeh! Kwanini usipambane upigwe hata risasi ufe kishujaa kuliko kulia na kufa kizembe namna hiyo
  8. nyang'ari

    Mchezaji atakuwa na nguvu kweli??

    Hao wanaokula vizuri wamefika wapi?
  9. nyang'ari

    Mchezaji atakuwa na nguvu kweli??

    Kama alishindwa kuhimili makeke ya African lyon ila yanga akaweza basi yanga ni wachovu zaidi
  10. nyang'ari

    Waziri Ndalichako awatimua Chuo walimu wa mafunzo waliompiga mwanafunzi shule ya Kutwa Mbeya

    Huku tunapoelekea ipo siku mtu atashikwa tako na itakuwa poa coz hatujui hata mipaka ya viongozi wetu, yeye alitakiwa aagize kwa mkuu wa chuo awachukulie hatua walim hao na si kuwasimamisha yeye. Tujitambue jamani
  11. nyang'ari

    Leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete

    Nakuelewa sana mzee hasa kwa political tolerance
  12. nyang'ari

    Mwanafunzi ampiga mshale wa sumu mke wa mwalimu mkuu

    Hii shule ipo mkoa gani? Wilaya gani? Na chanzo cha ugomvi ni nini?
  13. nyang'ari

    Kwa wanaotarajia kujiunga SAUT Mwanza

    Kweli Sauti wazuri kielimu hata ukienda na dv 4 ya form 6 utasoma kozi mwaka 1 then utaingia digrii. Sio kama mlimani wao ni dv 1 na 2 tu, dv 3 labda engineering
  14. nyang'ari

    Matumaini ya ajira mpya za ualimu 2016

    Njoo Kasulu kigoma ukikosa shule basi una nuksi
  15. nyang'ari

    Matumaini ya ajira mpya za ualimu 2016

    Acha uvivu wa kufikiri ajira sio lazima iwe government, tatizo mnataka kuishi mijini wakati mawilayani kuna shule za private hazina walimu
  16. nyang'ari

    Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

    Subiri ukiwa mwanajeshi utafundishwa
  17. nyang'ari

    Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

    Pengine sikukuelewa, ulivyosema kipo nikajua Tanzania kuna mtu anacho ndio maana nikabisha,vyeo vya tpdf navijua tangu mtoto na hakuna mtu aliyewahi kupewa cheo hicho tz
  18. nyang'ari

    Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

    Anacho nani kama kipo? Acha stori za vijiweni
  19. nyang'ari

    Msaada: Taarifa za Tanzania aviation university college

    Hahaha! Jamani hii nchi, wanasubiri watoto wa watu wafike mwaka wa pili ndio wakifungie chuo
Back
Top Bottom