Search results

  1. chew

    Kumnyonyesha mtoto baada ya kumpa dawa

    Za leo wana jamvi, naomba kuuliza kama kuna tatizo kumpa mtoto maziwa ya mama hali ya kuwa umempa dawa (mtoto). Asante
  2. chew

    PC KUZIMA GHAFLA

    Habari wanajukwaa, Laptop yangu inazima ghafla, yaani ukiwasha inakaa kama sec 30 hadi dakika 1 then inazima ghafla. Shida itakuwa nini? Msaada tafadhali
  3. chew

    Msaada jinsi ya kuondoa error message kwe PC

    Habari wana jukwaa. Nikiwasha laptop yangu kuna hii message inakuja, na hata nikibofya OK bado inarudi hadi ufanye hivyo angalau mara 10. Msaada jinsi ya kuiondoa tafadhali. Tatizo lilianza siku nilipo install ARCGIS kidha nika uninstall ndo hicho kimessage kikaanza kuja kila niwashapo PC...
  4. chew

    Nasaha

    *MASIKINI HIVI PUNDE TU TULIKUWA NAE.* . [emoji733]...Alikuwa ni mtu mwema na mwenye bashasha na kila mtu.. Nani ambae alikuwa hamjui kwa ukarimu wake..alikuwa ni mtu nadhifu na kipenzi cha watu wengi.. [emoji733]Imam Ghazal ra anasema kuwa mauti yanatisha sana lakini wengi tumeghafilika nayo...
  5. chew

    Airtel mnatukera na matangazo yenu

    Wana jamvi samahani kama ntakua nimewasilisha mada kwa jazba. Kiukweli hawa Airtel wananipa karaha pale unapompigigia mtu simu na badala ya kukwambia kwanza kama namba unayopiga haipatikani au inatumika, wanaanza na matangazo ...Tena marefu kweli. Sioni kama ni vema kufanya hivyo, nashauri...
  6. chew

    TBC SOUND ENGINEER

    TBC SOUND ENGNEERING HAMKO SAWA.
  7. chew

    Mugabe mgombea urais 2018

    Rais wa zombabwe tangu nchi hiyo kupata uhuru mwenye umri wa miaka 92 ametangaza kugombea tena urais 2018.
  8. chew

    BBC News: Muhammad Ali: Boxing legend dies at age of 74

    Muhammad Ali: Boxing legend dies at age of 74 - Muhammad Ali: Boxing legend dies at age of 74 - BBC News
Back
Top Bottom