Search results

  1. K

    Bunge la Katiba Nia njema Sababu Za Msingi Hazijaeleweka!!

    duh le mutuz ni mvumilivu sana, yeye na baba ake wametoswa ccm lakini bado anajikomba, mvumilivu hula mbivu ila kwa ccm utakula mavi
  2. K

    Mwigulu Nchemba: Serikali haina fedha kwa ajili ya kuajiri walimu wapya

    mijitu mingine migumu sana kuelewa mtoa post katafsiri kinadharia kabisa walimu kutopangiwa vituo maana yake haijawaajiri na haina fedha za kuwalipa, mishahara na fedha ya kuanzia, kuhusu wazabuni wa serikali ni kweli hatujalipwa ndo maana miradi mingi imestop, hazina iko empty fedha nyingi...
  3. K

    Zitto awataja mafisadi wa mabilioni ya Uswisi!

    kuna msemo unasema cheap popularity has got a price, muda wote zitto amekuwa akihubiri kuwa ana majina ya watanzania waliohifadhi mabilioni uswisi na mara ya mwisho aliwaahidi watanzania kuwa atawataja katika kikao cha bunge kinachoendelea sasa, baada ya mwanasheria mkuu kumbana sana apeleke...
  4. K

    Zitto kabwe karibu mbeya tunahamu kusikia toka kwako si propaganda za hawa jamaa

    aje aone moto utavyomuwakia, mbeya tunajitambua, hatupapatiki na wanasiasa wanaoenda kula viapo kwa waganga, alisema ana majina ya watu wenye mabilioni uswisi, werema kambana akakiri tena kwa kiapo hana hayo majina, CHEAP POPURALITY HAS GOT A PRICE
  5. K

    Le mutuz akijirusha na teenagers ndani ya after xul bash

    angepewa ubunge EA ningeshangaa sana, kubwa jinga
  6. K

    Unafiki wa Mbowe na vibaraka wake kwa watanzania

    leo kamati ya wizara ya nishati na madini, tujadili hotuba hizo ukichukulia umeme unaelekea kupanda, sio huu ----- ambao upande mmoja haujahojiwa kukiri au kukataa
  7. K

    Maswali kwa Mwanakijiji na wengine wenye kufanana naye katika mtazamo wa siasa...

    MM cmuelewi siku hizi hata makala zake zinachosha kuzisoma
  8. K

    Na Hii Ndio Maana Ya Kuzomewa Kwa Zuma na Dr. Slaa Kigoma

    hii topic mavi matupu, zomea ya zuma si kwa sababu walimfukuza julius malema, wasouth wanamind kwa nn hawaboreshewi maisha, acha ubwete we le mburula
  9. K

    My Apologies To Mh. Kapuya Na Wengine Wote We Should Follow The Apology Avenue: We Were Wrong!!

    huyu ndio kapuya mzee wa akudo, hapo vipi le mutuz
  10. K

    Kila akifika kilele ananing'ata meno

    huyo zombie atakuja kukukata mashine siku moja
  11. K

    Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

    picha yake tutaitoa soon ni ya kikatuni kama ile ya aliyemuua padri
  12. K

    Lowassa amponza Kibanda: Taarifa za awali zahusisha kutekwa na urais 2015

    kuna video ya lwakatare imepostiwa jf hembu tuiangalie kwanza
  13. K

    6Milion natafauta gari

    leta hiyo hela gx 100 mark two 2001 km 100102 iko poa ila mambo ya lawyer juu yako, interested 0712755866, naweza kukutumia picha soon
  14. K

    14mp hp digital camera

    sasa colour sio nzuri bana, kama vipi nikupe panasonic lumix MEGA O.I.S DC vario? iko poa
  15. K

    14mp hp digital camera

    ngoja niicheck ntakusoma kama poa
  16. K

    Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

    huyu william baada ya kupigwa chini ktk kinyang'anyiro cha ubunge wa EA na akili yake ishazuzuka, hata vioja vyake ktk fb havina mashiko kabisa ni mademu tu ndo wachangiaji wake, na anavyohaha sasa hivi kafungua kablog hajui kuna blog zaidi ya buku tano hapa bongo, what's up nyingi anadhani hapa...
  17. K

    camera nzuri kwa matumizi binafsi

    mkuu mi nataka hiyo camera je ina option ya camera? nicheck basi 0762332222
  18. K

    Nifanyeje ili nimpate wolper?

    mpigie 0718868186
  19. K

    Wasanii wa Bongo Fleva wanalogana, uchawi watikisa muziki..

    waswahili ndo maana tunakuwa maskini wa akili na mali, usiamini ujinga mwishowe utakuwa chizi, huyo shetani na mungu umewahi kuwaona? seeing is believing
  20. K

    Mwakyembe aunguruma

    mnafiki tu hata alipokuwa anatoa ripoti ya richmond kuna mengi aliyafichana leo riport ya ugonjwa wake kuna mengi kayaficha, hatuna muda wa kusikiliza upupu usio na mbele wala nyuma ni bora angekaa kimya kuliko kutoa mipasho ktk media
Back
Top Bottom