Search results

  1. K

    KKKT ni kubwa kuliko Mch. Kimaro, msihuzunike kuna jambo hamlijui, viongozi wake hawajakurupuka

    Baadhi ya maaskofu wanavuruga kanisa. Angalia kule Rukwa Dayosisi ya Ziwa Tanganyika Askofu Mwa... alivyovuruga kanisa. Mbeya Askofu Mwa... nae kavuruga. Sasa Dayosisi ya Mashariki na Pwani mwingine tena Askofu Ma... amelianzisha. Nyie akina Mwa... kutoka Mby Mungu anawaona
  2. K

    KKKT ni kubwa kuliko Mch. Kimaro, msihuzunike kuna jambo hamlijui, viongozi wake hawajakurupuka

    Amesema muumini wa Kijitonyama si muumini wa Kimaro. Read between the lines
  3. K

    KKKT ni kubwa kuliko Mch. Kimaro, msihuzunike kuna jambo hamlijui, viongozi wake hawajakurupuka

    Kuna ushahidi kuwa aling'ang'ania Kijitonyama au ni speculation zako?
  4. K

    TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Amen. Mungu utusaidie kustahimili haya kwani sisi wenyewe hatuwezi.
  5. K

    NHIF mnatuvuruga wananchi mbona kama hamjielewi tatizo ni nini?

    Kwa kweli NHIF wanatuchanganya. Leo nimeenda NHIF office iliyoko USHIRIKA LUMUMBA wakaniambia zile package tatu zilikuwa ni kwa majaribio. Sasa hazipo. Bima ya mtu binafsi ni sh.1.5 milioni kwa mtu mmoja sio kama ilivyokuwa in cover familia ya watu 6. Pamoja na hiyo kuwa ya mtu mmoja tu huduma...
  6. K

    Uteuzi wa Dr. W.P.Slaa kuwa Balozi: Rais Magufuli anaendelea kujieleza na kujipambanua kisiasa

    Unajua kitu kinachoendelea kwa sasa Africa ni issue ya Mugabe. Kilichotokea kwa Mugabe, ni kama kilichotokea kwa Gadafi na ku spread to some Northern countries. Ni kama viral diseases. Sasa ili kupotezea na kuwasahaulisha watu ni kuja na issue ambayo ita-dilute mjadala wa Mugabe. Ndio issue kama...
  7. K

    Kuporomoka kwa upinzani Tanzania

    Namshangaa na ninashindwa kumuelewa huyu mtu anayeshangilia na kushabikia kwa kile anachokisema kufa kwa upinzani nchini. Sijui kama huyu ndugu anajitambua!! Pole zake na afikirie tena mara mbili kwa hiki anachokifurahia!!
  8. K

    Hongera Lowassa, Hongera UKAWA

    Hongera Lowasa Hongera UKAWA Mungu yupo pamoja nasi
  9. K

    Mnaomuunga mkono Zitto naomba jibu la swali langu!

    Tumpotezeeni huyu kijana asitupotezee muda. Alikuwa anasubiri nini siku zote alifikiri tungefanya kosa kumkaribishe ili aendelee kulikisha siri za chama. Aishie zake.
  10. K

    Rais Kikwete amteua Profesa Asad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

    Bandua msalaba bandika mwezi ndio mchezo unaoendelea
  11. K

    Jaji Warioba: Siioni Katiba Mpya

    Tuko nyuma yako mheshimiwa Warioba. Go go go!!
  12. K

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    . He is clever man hawezi kushiriki kituko hicho
  13. K

    Live on TBC1: Hotuba ya Rais mwisho wa mwezi Machi 2013

    Kama kawaida yake kujaribu kubalance katika teuzi zake hata kama wanaoteuliwa sio wazuri. Hii sio vizuri ni kujidanganya wakati ukweli unajulikana!!
  14. K

    Zitto: Mwaka 2015 rais wa Tanzania ni lazima atoke CHADEMA

    Wewe ndio unajua kuana CHADEMA mbili tutajie. Kwa sisi tuna CHADEMA moja tu. Kama huna hoja bora unyamze kuficha ujinga wako.
  15. K

    Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

    Ipi hiyo ndugu tujuze!!
Back
Top Bottom