Search results

  1. N

    kwako mhe Nahodha

    NAHODHA FANYA KAZI ILA USISIKILIZE MAJUNGU Kwa hivi karibuni waziri wa mambo ya ndani ya Nchi MHE Shamsi Vuai Nahodha ameamua kuimrika idara ya uhamiaji nchini kwa kiasi kikubwa na kulingana na unyeti wa idara hiyo, inabidi watumishi wake wote wazingatie maadili. Waziri kwa sasa amehaidi...
  2. N

    Watu 8 wafariki ajalini Mbeya

    Hayo  mabalaa ni kawaida tu, kuna hili la polisi wawili kupigwa nondo mmoja kafa mwingine yuko hoi hospitali, na watu kibao wamepigwa nondo jeshi la polisi limeshindwa kuwadhibiti pia limeogopa kutoa taarifa sahihi juu ya watu waliopigwa nondo, yaani mbeya ni balaa ushirikina nje nje, juzi...
  3. N

    Watu 8 wafariki ajalini Mbeya

    Hayo mabalaa ni kawaida tu, kuna hili la polisi wawili kupigwa nondo mmoja kafa mwingine yuko hoi hospitali, na watu kibao wamepigwa nondo jeshi la polisi limeshindwa kuwadhibiti pia limeogopa kutoa taarifa sahihi juu ya watu waliopigwa nondo, yaani mbeya ni balaa ushirikina nje nje, juzi kuna...
  4. N

    Rubani Afanya Ngono Kwenye Kiti cha Urubani

    hii kali lakini haina mashiko kwa watanzania wasio na mafuta na umeme
  5. N

    Mauji ya north mara nini hasa kilitokea?

    Sawa Bwana kinepi nepi, maswali yako ni ya msingi ila ukweli ni kwamba hawa watu si wavamizi ila ni wadai haki yao iliyoibiwa na barrick gold ni kawaida mahali popote penye utajili kuna mauti pia wawekezaji wezi hao hutumia vyombo vya dola kulinda maslahi yao. rejea yaliyotokea cong DRC, Nigeria...
  6. N

    Tanzanian beggars flooding Kenya

    Ohhh its shocking but also we have some kenyan beggers in Tanzania once they were deported from Arusha but they come back. this kenyan should stop to be allogant because beggars are found everywhere in this poor Afrcan country. if they are sure that beggers are from tanzania let them contact...
  7. N

    Mantiki ya kuhairishwa kuwashwa kwa mwenge wa uhuru Mbeya inashangaza

    Jamani watanzania hii nayo yashangaza, kama inavyo eleweka kuwa shughuli za mwenge wa uhuru huratibiwa na wizara ya kazi na maendeleo ya vijana, na kwa mwaka huu ilipangwa mwenge huo ungewashwa katika mkoa wa Mbeya na katika wilaya ya Mbeya na ilitarajiwa kuwashwa kati ya tarehe 27 mei 2011 hapa...
  8. N

    Chief Justice Vetting Kenya

    ni kweli wakenya wako serious na kazi, hiyo interview ya chief justice nimeiona inarushwa live, hivyo watampata mtu ambae ni compentent sio kama hapa kwenu mtu anaibuka from no where, kenya wanaangalia interglity, anapohojiwa mtu live inawapa nafasi watu kusema competecy na intergrity ya mtu...
  9. N

    Pinda ahitimisha mjadala wa hotuba ya rais bungeni

    Ni kweli hotuba ya pm ilikuwa nzuri na yenye mvuto kusikiliza ila ameweka kichefuchefu alipo anza kufanya comparison kati ya maendeleo yaliyo fanywa na wakoloni na yaliyopatikana na baada ya miaka hamsini ya uhuru, shule, wanafunzi huduma za afya, barabara nk.ni lazima pm ajue wakoloni wakuja...
  10. N

    Regia adai kiwango cha elimu kimeshuka; PhD bungeni sawa na BA?

    Wadau hili la mh Regia Mtema si la kujadili kijujuu tu you need to go deeper, ila alichokosea ni kusema hizo phd anazofananisha na first degree ni zipi? mimi nakubaliana na yeye kuna hizi PHD za online za kina Nchimbi, zingine za common wealth, unakutana na mtu anajiita DR eti ana Phd jenga...
  11. N

    Haki nisaidieni hapa! Huyu binti yangu..............

    kaka pole sana kimsingi hao watoto wako watakuja wenyewe, kama watataka kuishi bongo, katika umri wa miaka 18 waje kwa hiari yao, huwezi kuwalazisha kumbuka wana uraia wa mama kenya, na watanzania pia, najua hawataki bongo huku longolongo kibao pole
  12. N

    Madudu ya Trafic Mbeya

    KAMANDA MPINGA HILI NALO LIANGALIE KWA MACHO MAWILI. Jamani wana JF hivi ni lini Watanzania wataishi katika nchi yao bila kunyanyasika ebu sikieni yanayofanyika hapa Mbeya , Vituko vya wenzetu wa jeshi la polisi kitengo cha Usalama barabarani vijana wa Mpinga. Kwanza kuna mtu anaitwa MGENI...
  13. N

    How to use JamiiForums effectively

    Hi guys at JF am mwanachama mpya tuko pamoja. Sasa najua jinsi ya kutumia jamii forum effectivelly
Back
Top Bottom