Search results

  1. M

    Ajira Mpya kwa mwaka wa fedha 2011/2012..

    Ajira siyo priority ya Serikali hii ya awamu ya nne ila maisha bora zaidi kwa kila fisadi aka wabunge
  2. M

    Mzumbe University customer care ni zaidi ya vyuo vingine

    It is possible. Vyuo haviwezi kulingana by any standard
  3. M

    Uchaguzi wa Igunga haukuwa huru na wa haki! - Freeman Mbowe

    Mimi nadhani tusimshutumu Mbowe eti siasa uchwara. Ni nani asiyejua kuwa CCM walisubiri uchaguzi ukaribie ndiyo wagawe msaada wa chakula kwa watu wa Igunga. Hiyo ni rushwa ya mchana kweupe. Hata kama hawaku-itend itumike kama rushwa mtu yeyote mwenye akili timamu atajua kuwa timing ya huo...
  4. M

    Ni kitu gani kinachokufurahisha katika uongozi wa mama makinda?

    She is not serious. Amezidi mno kuwa shabiki wa CCM/UKADA umemharibu hajui hata kanuni za Bunge vizuri. Nadhani hakustahili kupewa ile nafasi ila CCM walimchomeka tu pale kwa maslahi yao binafsi.
Back
Top Bottom