Search results

  1. Carina

    Zipi ni condom nzuri?

    Wadau naomba kujua ni kondomu zipi nzuri kwa tendo, yaani zile ambazo haziumizi na ambazo ukivaa na kufanya tendo kama vile unakula kavukavu. Ni zipi hizoo? Msaada plzzzz
  2. Carina

    Kumiliki ardhi

    Wakubwa, Msaada kidogo, Ninataka kununua tu eneo ambalo mtu ananiuzia, ninataka kujua nitahakikisha vipi kama hapa sipigwi na pia kujua kwamba hili eneo ana miliki kihalali. Eneo lenyewe lipo Kibaha Ni vitu gani hasa vya kufanya kuhakikisha hapa kwamba sipigwi nanunua kihalali Naombeni...
  3. Carina

    Kumbukumbu za uhakiki wa milki

    Wadau swalamaaa, naomben msaada kidogoo, kuna hii fomu ya manispaa ya Kinondoni ya kumbukumbu ya uhakiki wa milki, kuna sehem ambazo nimeshindwa kujua nijaze nini, sehemu hizo ni ile ya Tarehe, muda na mipaka ya eneo (kama kwenye fomu niliyoambatanisha hapa). Kwenye tarehe naweka tarehe ipi...
  4. Carina

    BeFoward ni Clearing agents Tanzania?

    Wakuu naomba kuuliza, nimeagiza gari Japan through BeFoward nilitaka kujua kama wana fanya pia kazi ya kuclear gari inapofika bandarini Dar es Salaam. Huduma zao zikoje na pia bei zao zikoje pia. Asante nawasilisha
  5. Carina

    Unawezaje kujua idadi ya wasikilizaji wa redio au watazamaji wa TV?

    Hivi wadau nilitaka kujua kuwa unawezaje kujua kuwa hii redio ina wasikilizaji wengi kuliko redio zingine au TV flani ina watazamaji wengi kuliko TV stations zingine. TCRA au NBS kama sikosei wanawezaje kujua hii redio ina wasikilizaji wengi kuliko redio station nyingine?? Nilitaka tu kujua...
  6. Carina

    Naomba kujuzwa bei ya Spark Plug

    Wanajamii naombeni kujua bei halisi ya Spark Plug original kabisa Dar es Salaam kwa gari ndogo kama Carina Ti hivi Asante
  7. Carina

    Joto kali mwilini ila kipima joto kinaonyesha chini ya 37 Centigrade

    Wadau salama huku. Mwanangu ana miaka 3 na nusu, inatokea mara kwa mara (kama mara 2 hivi ndani ya miezi 4) anakuwa na moto sana mwilini. Ukimpima kwa ile thermometer joto linaonekana la kawaida tu ( yaani chini ya 37 Centigrade zinazotakiwa). Nikimpeleka Hispitali (Aga Khan) wanasema ni...
  8. Carina

    TV ShowCases

    Jamani habari za mida hii wanajamvi, Nauliza ni wapi wanakouza TV Showcases nzuri na kwa bei nafuu. Asanteni
  9. Carina

    Mtoto kujishika kwenye sehemu yake ya haja ndogo

    Wakuu salama, Takribani kama wiki mbili au tatu, mtoto wangu wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu ameanza tabia ya kujishika mara kwa mara kule kwa babu wake. Hii hutokea wakati wowote akijisikia, hata akiwa amelala na ukimvalisha kaptula ukafunga barabara utakuta ameshafungua na kujishika...
  10. Carina

    Paving Blocks za kutengeneza mwenyewe

    Wakuu naomba angalau mchanganuo wa pavings blocks kama ukiamua kutengeneza mwenyewe. Yaan labda kwa mfuko mmoja wa cement inaeza toa paving blocks ngapi, gharam ya fundi anayetengeneza na mchanga kiasi gani labda. Ni hayo tu wakuu nawasilisha.
  11. Carina

    Mabwepande kumevamiwa na wavamizi

    Jamani kuna tetesi kwamba eneo la Mabwepande kumevamiwa na wavamizi! Wavamizi ambao hawajulikani wanatoka wapi wanang'oa nguzo na Beacon ambazo zimewekwa na serekali. Sasa kwa wale wenye maeneo Mabwepande waende haraka sana wakaangalie namna ya kutatua tatizo hilo. Maeneo yamepimwa kabisa na...
  12. Carina

    Joseph Ndamallya

    Hivi huyu mtangazaji yuko wapi siku hizi? Sijamsikia muda mrefu kweli.
  13. Carina

    Mafundi wazuri wa AC

    Wanajamvi habarini za leo? Naulizia mafundi wazuri wa AC maeneo ya Kimara mpaka Mbezi Mwisho. Mwenye ufahamu naomba atupe mawasiliano hapa. Akhsante nawakilisha Mdau
  14. Carina

    DAWASCO na Max malipo

    Wakuu, Habari za muda huu? Kuna habari zinanitatiza hapa. Hivi majuzi DAWASCO wameanza kupita majumbani mwa watu na kuanza kuwakatia maji wale ambao wanadaiwa. Sasa cha kushangaza mimi nilikuwa nalipia maji kila mara kupitia MAX MALIPO. Lakini cha kushangaza ni kwamba inavyoonekana zile...
  15. Carina

    Kupiga plasta

    Jamani wanajamii naulizia bei ya kupiga plasta nyumba nzima (nyumba ya vyumba vitatu vya kulala, kimoja master, study room, sebule, jiko, public toilet na bafu pamoja na jiko na dinning room) inaweza kukost shilingi ngapi? Naulizia gharama za fundi peke yake. Asante
  16. Carina

    Kupaua wakati wa mvua, Naomba ushauri

    Jamani nimemaliza kuweka kenchi jana Jumapili na order ya mabati nimeweka tangu Ijumaa iliyopita kuwa yatatoka Jumatano kesho kutwa, sasa naona mvua za masika zimeanza leo. Je! Ni hatari ipi inaninyemelea kwa zile mbao ambazo tayari zipo juu?? Jee zinaweza kusubiria mpaka hiyo Jumatano ambapo...
  17. Carina

    Tiketi mabasi ya mikoani

    Hivi siku hizi ukitaka kukata tiketi siku moja au zaidi kabla ya safari kwa mabasi ya mikoani Ubungo pale inakuwaje kuwaje?? Manake najua sasa hv pamebomolewa na mabasi hayana ofisi! Msaada plzzz!!
  18. Carina

    Mtoto kutoa matongotongo jicho moja kwa siku ya pili

    Wanajamvi mtoto wangu ana siku ya 4 leo ila tangia majuzi jicho lake moja linakuwa na matongotongo mengi sana! Alivyozaliwa tu jicho moja lilikuwa linatoa matongotongo kama siku moja (yaani masaa kadhaa tu) halafu likaacha! Ndo likahamia kwenye jicho la pili ila ndo limekaa sana siku ya tatu...
  19. Carina

    Msaada pls!

    Wakuu nimekuwa nikijiuliza hivi ujauzito kihalisia ni miezi mingapi? Ni tisa au (kwa maana ya wiki 36) au zaidi ya hapo?? Je ilifika wiki ya 40 ni sawa au kuna tatizo labda?? Naulizq hivyo manake kuna mtu leo anafikisha wiki ya 39 na siku 5 (almost wiki 40) na mtoto bado yuko vizuri tu tena...
  20. Carina

    Dawasco

    Jamani hivi DAWASCO wapo kweli? Mbona maji hayatoki kabisa tangu January? Visingizio vingi sana eti ya miundombinu. Kwa nini Tabata na Kimara ndo hakuna maji wakati Mbezi beach yanatoka karibia kila siku? why kwa nini? You haven't taken any measures to make sure we have plenty of water! Jamani...
Back
Top Bottom