Search results

  1. ally kitupe

    Mwenye kujua haki za wafanyakazi anisaidie

    Mm ni mfanyakazi katika kampuni binafsi nina mwaka sasa miezi minne iliyopita nilipata ugonjwa wa kifua kiku u kampuni yangu ilinipa likizo ya kwanza nilipomaliza likizo Ali yangu ilikuwa bado wakanipa likizo ya pili nimemaliza juzi lakini afya yangu bado ivyo wananiambia niandike barua ya...
  2. ally kitupe

    Anayejua kufungua website naomba anisaidie

    Jamani anayejua kufungua website anisaidie nitamlipa nimesoma html [\color] nimemaliza sasa nataka kufungua website yangu Unaweza kuni pm au ukanicheki kwenye gmail yangu allykitupe@gmail.com
  3. ally kitupe

    JAMANI NIWAULIZE? NENO "BUKU" LIMEISHIA WAPI!

    Ebu nisaidie jamani zamani mabest na mademu zangu walikuwa wakiniomba elfu moja wanasema naomba buku lakini siku hizi wakiniomba wanasema naomba elfu moja mpaka najiuliza kwann au ndo msisitizo ili niwapatie iyo ela ebu nisaidieni au safari ya dom imekaribia
  4. ally kitupe

    Sitaisahau siku ya kwanza niliponunua iphone, nilitamani niitupe

    Jamani mm naongea kutoka moyoni kabisa nilitokea kuipenda iphone ikiwa mm ni bingwa wa simu za android kwakweli nilitamani niiludishe alafu nipewe simu yeyote ata tecno powa simu yangu ilikuwa iphone 4 ivyo kadri siku zilivyokuwa zinaenda nilianza kuzoea vitu vyake nitofauti kabisa ila ukiizoea...
  5. ally kitupe

    Natafuta kazi ya electronic repairing

    Habari zenu wanajr Natafuta kazi yeyote inausiana na electronic repairing au mobile repairing nina experience ya miaka mitatu Niko vizuri ktk kuripea vitu kama Colour tv Pasi feni Dvd deki Brenda Subwoofer Mobile phone System music (kiasi) Plat tv(kiasi) Na vinginezo ambavyo vinadeal na...
  6. ally kitupe

    Wataalamu wa "HTML" naomba msaada

    Najifunza mambo web design lakini kupitia internet kuna sehemu Hii nimekwama nisaidie kila nikiweka link inakataa kusearch inaniambia era nisaidieni jamani uwa naandika link namna Hii <!DOCKTYPE HTML> <html> <body> <p><a href="http://www.google.com/Facebook;/">click here</a>for Facebook sign...
  7. ally kitupe

    Mke wa rafiki yangu anachepuka mtaani, rafiki yangu ameshindwa kuachana naye

    Ni rafiki yangu kipenzi sana nilimshauri sana kuhusiana na tabia ya mke wake kuchepuka mtaani. Nilimsihi sana aachane naye lakini hataki ila siku akimkuta na bwana mwingine anakuja kunishtakia . Nisaidieni jinsi ya kumshauri huyu best yangu.
  8. ally kitupe

    Freemason basi inatosha, mtatuua kwa presha

    Jamani Freemason inatosha kila kitu mmeweka simbol zenu kila mahala mmetawala nyinyi yahani mnataka kila MTU abudu dini yenu kilazima punguzeni basi mana as wengune waislam jamani mpaka vinywaji Nguo vyakula kila ninapoenda mnatawala nyinyi punguzeni
  9. ally kitupe

    Mke wangu maji mara moja

    Jamani nisaidieni, Huyu wife wangu nampenda ila mara nyingi namkuta uchochoroni watu wamebambia, nimesema mpaka nimechoka ila nashindwa kumuacha kwakuwa ni mnyenyekevu sana kwangu na mpiganaji sana katika maisha. Nisaidieni.
  10. ally kitupe

    Hakuna umuhimu wa kuwa na Antivirus katika simu

    Siku za kalibuni asilimia 90 ya simu zenye antivirus zimepatwa naatatizo mbalimbali ikiwemo kuzima kustack nk KWANN ANTIVIRUS NDIO IWE CHANZO CHA TATIZO IKIWA NDO KINGA? kila simu ya android imegawanyika sehemu mbili system na slavery(memorycard) ivyo kama simu haina antivirus virus...
  11. ally kitupe

    Ijue siri ya 'APNs' katika simu yako

    Simu nyingi siku izi hazina auto internet configaration ivyo zinaitaji manual internet setting simu izo ni kama samsung uhawei htc sony na nk ivyo apo ndipo panakuja na umuimu wa kujua APNs na setting zake Apn ktk android utumika kuset manual internet haina aja ukawalilia karia wako nenda...
  12. ally kitupe

    Madhara ya kumblock download manager ktk smartphone yako

    Download manager ni andoid ambaye anashugulika na kudownload ktk simu yako ivyo pale anapoblokiwa uwa simu inaandika unfortunately google playstore stoped ili neno utokea mara kwa mara ktk simu ivyo basi kama simu yako inatatizo ilo unatakiwa uwai keset kabla halijakuwa clonic itakubidi uende...
Back
Top Bottom