Search results

  1. E

    Viwango vya mishahara TCCIA na TAA

    Wadau napenda kuelewa tofauti ya mamlaka hizi na viwango vyao vya mmishahara kwa ngazi ya uhasibu.
  2. E

    Kigwangalla: Mbowe mjinga, mpuuzi, ametia aibu na kushikishwa adabu...!

    Pasco,Njoo uthibitishe haya lasivyo mmoja wenu ale ban
  3. E

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Ritz sasa umeishiwa kwahiyo unataka chadema wafanyeje au mohamed mtoi afanyeje
  4. E

    Nape Nnauye anadhalilisha vijana wenzake na Wazee, Madaraka aliyopewa ni makubwa kwake

    Duh jamani malaria sugu,kimbunga, njooni muokoe jahazi huku jamani yani kiongozi wa ccm ameshindwa kujibu hoja za mwanachama wake Mchambuzi anakimbilia kujibu mipasho ...my dear CCM nani amekuroga? sitaki kuamini kuwa hakuna viongozi makini CCM je wamesusa nakuachia wahuni chama? nani...
  5. E

    Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    Mabomu mabomu yanapigwa muda huu huku Ifakara Mgombea wa CCM kakimbia kakataa kusign vijana wa CDM nao mamekomaa wanalinda kura hawataki kutoka police wanapiga mabomu wawatoe matokeo hayajatangazwa
  6. E

    Bahati Bukuku afunika Singida, Rose Mhando awauza sifa Tanzania Singida

    Tamasha hilo linaitwa sifa tanzania
  7. E

    Bahati Bukuku afunika Singida, Rose Mhando awauza sifa Tanzania Singida

    Leo kulikuwa na tamasha la muziki wa injilili Singida, waimbaji kama Rose Mhando, Hahati Bukuku, Ambwene walialikwa lakini baada ya ufunguzi muandaaji wa tamasha hilo Prosper aliwatambulisha waimbaji waliofika waudhuriaji wakapaza sauti zao Rose yuko wapi? Ndipo mratibu alipoamua kufunguka kuwa...
  8. E

    Taarifa ya BAVICHA kwa vyombo vya habari kuhusu kuwavua uanachama wanachama wake

    kweli ben alisema ccm ndiyo wataumizwa! naona mmeanza kulalamika halafu mi nafkiri mnaisaidia sana CDM kwa sababu wanajua adui yako muopmbee njaa.
  9. E

    Should CHADEMA Fire Zitto?

    Duh wewew pasco ni mnafiki kweli juzi umesema mwenyewe kuwa ben saanane ni mwamba na katika mwamba Chadema itajengwa leo tena unamkandia wewe kweli una kazi maalum humu jf huwa unapima upepo hata kama si mwanasiasa lakini ukiwa muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu kimsingi mimi huwa nakupuuza.wewe...
  10. E

    Joshua Nassari MB.

    Mkuu Mwanakijiji, si ulisema utamfunda! vipi tena
  11. E

    Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

    ooh poleni CDM jaribuni 2015
  12. E

    Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

    atakayepata hukumu tafadhali airushe kwenye soft copy
  13. E

    Mugabe mahututi Singapore?

    source pls mbona cnn bbc aljazeera bado hawajasema
  14. E

    CHADEMA inaangalia uwezo na uadilifu; maoni binafsi yasichukuliwe kuwa ni msimamo wa CHADEMA

    Tatizo lake si Hoja ya mtoa hoja, ni mtoa Hoja yuko chama gani ilo ni tatizo sana tumeliona tena kwa lusinde baadhi ya wanachadema wakimuhusisha na sera za chama chake labda anajibu mapigo lakini GT utakiwi kuwa hivyo
  15. E

    CHADEMA inaangalia uwezo na uadilifu; maoni binafsi yasichukuliwe kuwa ni msimamo wa CHADEMA

    hapana ni kujibu hoja kwa hoja siyo vihoja na usifikiri ili ni jukwaa na mashabiki/wanachama wa vyama vya siasa
  16. E

    CHADEMA inaangalia uwezo na uadilifu; maoni binafsi yasichukuliwe kuwa ni msimamo wa CHADEMA

    kwani katiba hiyo ni ya tanganyika,zanzibar au tanzania? Katika majibu yako unataka kufanana na comment za mzee mtei kwa upande wa pili
  17. E

    Tume ya mabadiliko ya katiba

    wadini wote mlaaniwe
  18. E

    CHADEMA inaangalia uwezo na uadilifu; maoni binafsi yasichukuliwe kuwa ni msimamo wa CHADEMA

    Hivi sikuhizi jF imeishiwa ma GT tumjibu Mtei kwa hoja siyo vioja lasivyo na sisi/nyie mtaonekana ni walewale sijaona mtu kamjibu mtei zaidi ya kusema analeta udini oohh mwasisi wa chadema nk sitaki kuamini CDM wote wanakubaliana na hoja ya Mtei na sitaki kuamini CCM ni vilaza wameshindwa...
  19. E

    Tume ya mabadiliko ya katiba

    Wadini huwajua wadini wenzao.Nyie hamna tofauti sana na Mzee Mtei isipokuwa mko kundi la pili na mlaaniwe wote na vizazi vyenu
Back
Top Bottom