Search results

  1. Osmokalu

    Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

    Alooo si mchezo UKIMWI ni hatari,nimekaa miaka 6 Njombe ila niliyo yaona kuhusu gonjwa hili ni shidaaa,maaneo ya lutilage,chaugingi,mlevela,kibena shule,nzengelendete,lupembe daaa nashkuru niliondoka
  2. Osmokalu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Za asubuhi wadau,vipi jama mbona betway sioni wadau wekeni kodi zake kama zipo
  3. Osmokalu

    Mke wangu ana tatizo la kukoroma

    Inaweza ikawa ni moja ya sababu,ila nawengine watachangia sababu nyinginezo,mimi nilikua na tatizo hilo ila baada ya kukata kilimi niko fresh kabisa
  4. Osmokalu

    Mke wangu ana tatizo la kukoroma

    Atakua na kimeo kikubwa fanya jitihada kikakatwe
  5. Osmokalu

    Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Namie naweza mpata anae nitafuta,ngoja niweke kambi hapa
  6. Osmokalu

    Una bahati wewe ni mwanaume wangu wa kwanza, ila tungekuwa tumeshaachana

    Kashakwambia sababu we ni mwanaume wake wa kwanza,elewa kunamwingine hapo.Chapa lapa dogo
  7. Osmokalu

    Sitathubutu kuoa mwanamke mwenye elimu duni

    Wewe oa tu hao wenye elimu,sie tunawashikisha meza tu maofisini na vyooni kiulaini tu
  8. Osmokalu

    Rais Samia tukumbuke watumishi wa NIDA

    Daaaa yani nyie jamaaa sina hamu kabisa na nyie,hawa wafukuzwe hata huko uraiani waliko
  9. Osmokalu

    Nifanyeje niweze kuunganisha mabao!!

    Chomoa Piga bao moja nje,kisha ingia uendelee na show
  10. Osmokalu

    Nimepigwa na kitu kizito! Nimehudumia mtoto mwaka mzima kumbe sio wakwangu

    Tafuta na wewe mnyonge wako mpigie dem wake na mtoto awe wako
  11. Osmokalu

    Udhalilishaji wa Watoto kwa njia ya maneno

    Hahahahahaha mwana hapo umemaliza kabisa yani umepiga kichwani kabisa
  12. Osmokalu

    Aina hii ya fistula, msaada wenu madaktari ni jinsi gani ifanyike ili mgonjwa aweze kupona

    Niende moja kwa moja kwenye maada. Kuna dada mmoja alipatwa na bawasiri ila ile bawasiri ilipona kwa dawa pasipo kufanyiwa operation's. Kilichojitokeza sasa ni jipu pembeni ya tundu la haja kubwa, baada ya jipu kupasuka imetengeneza njia ambayo ina uhusiano na njia ya haja kubwa, hivyo basi...
  13. Osmokalu

    Nimegundua haya baada ya kipindi kifupi cha kufanya kazi na Wahindi

    Wachafu sana na ni washirikina sana hakuna mhindi asiye na hirizi,wana possible hawana impossible,wanafiki sana na wambea
  14. Osmokalu

    Nakumbuka mwezi July nilimpoteza baba yangu

    Pole sana mkuu Mungu ampe kauli thabit baba yetu
  15. Osmokalu

    Bahari imechafuka

    Fafanua ndugu
Back
Top Bottom