Search results

  1. msouth23

    Naombeni kazi wakuu hali ni mbaya

    Habari zenu wakuu, Hope ni wazima otherwise Allah awafanyie wepesi. Lengo la uzi huu ni kuomba kazi, kibarua au shughuli yoyote halali itayoniingizia kipato. Nina umri wa miaka 27, nina elimu ya Diploma ya Information Technology ila sijabahatika kupata hata kazi ya kujitolea (mimi ni kati ya...
  2. msouth23

    Msaada wa haraka unahitajika

    Habaria za mida wakuu, kuna laptop hapa ina tatizo la kutowaka. Tatizo limeanza baada ya kuifungua kwa lengo la kuweka heat compound, sas baada ya kuifunga aitaki kuwaka yani hata ile taa ya kuashilia kwamba umechomeka chaja aiwaki, je tatizo laweza kuwa nini? msaada tafadhali
  3. msouth23

    Nini tofauti ya FREEDOM na INDEPENDENCE?

    Wakuu naomba nieleweshwe tofauti ya hivyo vitu.Na ningependa ufafanuzi kama vina apply hapa TZ.
  4. msouth23

    INAUZWA Play station 2 for sale

    Ipo complete Bei ni 120,000TZS Nichek 0657627376
Back
Top Bottom