Yani ukiangalia uhuni wa Spain wanavyocheza siku hizi utadhani wanashiriki mambo ya kufix game, sio ile team ambayo ilikuwa inaua goal kibao, mfano game ya leo kama wanataka ifix isitoe magoli.
Wadau kuna anaejua maswaibu yoyote yaliyowapata Sportpesa Tz maana website yao ukiifungua iko blank hakuna matangazo wala matches ila unapata access ya kulogin bila shida.
Kwakweli nimeguswa na demokrasia nayoiona Kenya hivi sasa uchaguzi wq Kenya unachalengiwa live toka mahakamani na unaonyeshwa na karibu televisheni zote kubwa.
Hongereni wakenya.
Kama kichwa cha mada kinavyosomeka napenda kuwafikishia ujumbe wamiliki wa kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Mkekabet watutengenezee app sie wadau wa weka nyingi ule nyingi. Mnapoteza followers wengi kwakuwa wengi hatupendi kuingia kwa kutumia browser mana page layout yake sio poa kwa...
Wadau,
Kuna anaejua ni Tv gani ndio chore source ya haya matangazo live maana ubora wa picha kwakweli ukiangalia Tv zingine zinasikitisha.
Star Tv, TBC, Channel 10 zote picha mbaya ni Clouds Tv tu ndio inapicha inamngao mzuri utadhani wao wanarusha direct bila kupitia kwa mtu.
Sijui tu kuhusu...
Nampa big up aliefanya tukasherehekea idd jumatatu na jumanne,ameietendea haki miili yetu.
Msihoji haki gani,ila na ahidi nasi wakristo tutalipa fadhila December 2017.
Wakuu wa jamvi naomba msaada kwa mtu anaejua,Kuna taasisi inauza huu MKAA mbadala Wana uita MKAA MKOMBOZI. Kama wanaweza wakasoma uzi huu tunaomba waache uboya wafanye biashara kisasa how come Wana website,wanafacebook page lakini hata hawajaweka gharama za bidhaa zao,Je kwanini wanaficha...
Wadau naomba mnisaidie kidogo kale ka wimbo ka tigo ka JAZA UJAZWE ambako kana bongo flavor verse,taarabu kidogo na ushairi nina omba msaada kwa mwenye mp3 version yake ai upload hapa tafadhari
........ Nimekolea
Meridianbet ni kampuni ambayo ilijipatia umaarufu mkubwa sana na kuwa na followers wengi wanaobet kwao,wakabweteka huduma zao mbovu ukienda kwenye maduka yao,ukiwin kuwithdraw tabu ukienda dukani mpaka uwapoze wahudumu ndio wakupe hela,ukiwithdraw kwa simu itakuchukua Muda mpaka uwapigie...
Maada hii nawaweka hawa mapimbi ambao waliwadhurumu wenzao haki ya kuendelea mbele na sasa Leo wamekutana na watoto wa mjini.
Kwa kifupi psg sio timu kubwa ndiomaana nimeandika kwa herufi ndogo ila Juve ni habari nyingine.Ule uboya wa marefa kuibeba barca naamini wa Italy watakausha mtu na UEFA...
Jamani msihangaike kutafuta funguo tumewaachia mlango wenu wazi maana chumba hakina chochote cha kupotea, ijapokuwa tunawashukuru mlitufaa kidogo na mvua hizi za vuli.
Wasalam
Arsenal the gunnerz.
### Mandroooooo aka official 6 holders
Vipi Leo wale wachambuzi wetu wachumia tumbo mmoja king wa Insta anatangaza radio moja inayoongea ongea sana mwingine king wa Facebook aliepata deal kuchambua kiswazi huko, ambao huwa wanaona Arsenal tu akiliwa vipi kuhusu chama lao ambalo linastruggle zaidi ya miezi mitatu halijatoka namba sita...
Hii ilikuwa ni October 3,2016.
Na hii ni leo baada ya kumfunga Westham
Halafu mchambuzi uchwara mmoja huwa anashikilia tu takwimu za timu za wenzie ilihali hajiulizi Chama Lake limekaa namba sita kwa Muda gani.
Nimejaribu kutembelea leo app ya kupatana nilichokutana nacho ni kila bidhaa IKO premium,
Nime edit article yangu naona wamerekebisha na kuturudishia huduma zile za matangazo ambazo sio premium
wadau napenda kufahamishwa kwa anaelewa katika kusearch search channel za king'amuzi cha Dstv nimekutana na channel moja bomba full music inaitwa E ipo channel 295,Je nani au ni kituo gani ndio wamiliki WA hiyo TV station...kiukweli nimeipenda.
Napenda kupata mchango WA mawazo kutoka kwa wataalamu ambao wanahusika na masuala ya kibenki
1.Je taasisi ya kibenki inaruhusiwa kufanya makato kwenye Account ya mteja bila kumpa taarifa.
2.Iwapo bank iligundua Kuna muamala ambao ulifanyika miezi kadhaa ya nyuma ni haki kufanya maamuzi bila...
Huyu mama professor WA Open University nimempenda bure,hasa pale aliposema njia ya kwenda mbinguni...tumuombee tu asitumbuliwe nae akajishtukia kwa kusema hapingani na waziri ila siasa amekiri imeleta uzushi kwenye mambo ya kitaalamu....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.