Search results

  1. Geechie

    Msaada wazee wa mikeka: kulink VISA card na online betting companies

    Vipi Leo England anapiga Ujerumani Ili kulinda heshima yake au atauza kama alivyofanya France Jana? England na Italy win hao wawili TU. Sitaki tamaa. Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
  2. Geechie

    Uchafu: Mabasi yaendayo mikoani hayajawahi kusafisha seat cover tangu yanunuliwe. Wasafiri waambukizana ukurutu

    umesoma vizuri nilichoandika au umekuja tu mbio mbio hujaona nimetaja route kabisa Dar shy mwanza ambako ninajua ni mabasi mapya. Jaribu uwe unasoma kwa vituo na kuelewa kilichoandikwa.
  3. Geechie

    Uchafu: Mabasi yaendayo mikoani hayajawahi kusafisha seat cover tangu yanunuliwe. Wasafiri waambukizana ukurutu

    Allys star moja ya mabasi bora kabisa njia ya Dar shy Mwanza nilichopenda zaidi basi huwa ikifika mwanza au zile zinazoishia shy kuna basi mbili unazikuta standby kwa ajili ya safari ya kesho. Hii ni moja ya njia bora ya kwani madereva wanapumzika kesho yake, mabasi yana pata muda wa kuangaliwa...
  4. Geechie

    Kikao changu na makampuni ya simu kuhusu kesi ya kuibiwa vifurushi

    Nyumba gari na ahadi tamu tamu toka kwa unaotarajia kuwashitaki ziko karibu nawe kaza hivyo hivyo. Kila mtu ashinde match zake naamini zikianza miminika zawadi na uzi ndio hatutousoma tena mrejesho wake.
  5. Geechie

    Wapi naweza kukopeshwa 50k au 100k nina shida nayo kiukweli

    Inamaana watu wapo kazini sio duh kazi kweli kweli
  6. Geechie

    Unazifahamu hizi?

    Kama umezikuta lodge ukiwa safarini bado mbinguni kutakuwa mbali?
  7. Geechie

    Mliooa na mnaopata mshahara wa Tshs. 300,000 au chini ya hapo mnawezaje kumudu familia?

    Tuanzie hapa kwanza kwani huo mshahara wenyewe umeshatoka?
  8. Geechie

    Tuliozusha, kufurahia, kushadadia na hadi kutaka kuchukua kazi ya ‘Israeli' tusaidiane kujibu haya maswali

    Kwahiyo mkuu hii ni dhambi kama ambavyo unaambiwa ukitamani mke wa mtu umetenda dhambi?, Duh huko motoni kama kutajaa sana maana daily watu wanatenda dhambi wasizozitarajia bila kujua .....
  9. Geechie

    Game gani, na upo level gani kwenye simu?

    Kila naemsoma anacheza game za watoto,haya nauliza wacheza scrabble tunacomment wapi? Maana sijui why watz wengi hawaijui scrabble?
  10. Geechie

    SPAIN VS SWEDEN KAMA FIXED GAME

    Yani ukiangalia uhuni wa Spain wanavyocheza siku hizi utadhani wanashiriki mambo ya kufix game, sio ile team ambayo ilikuwa inaua goal kibao, mfano game ya leo kama wanataka ifix isitoe magoli.
  11. Geechie

    Kunani Sport Pesa Tanzania?

    Wadau kuna anaejua maswaibu yoyote yaliyowapata Sportpesa Tz maana website yao ukiifungua iko blank hakuna matangazo wala matches ila unapata access ya kulogin bila shida.
  12. Geechie

    TALA yakimbia Tanzania, yafunga ofisi zake

    Na hivi tunaelekea kwenye uchaguzi wasitubugudhi na sms zao za vitisho haya makampuni ya wanyonyaji tutawashitaki kwa baba awachinjie baharini.....;););)
  13. Geechie

    Maumivu ya kumiliki sim cards kama kikokotoo

    Mtoa mada uko sahihi lakini kama ulimsikiliza jana mjengoni naibu ni kana kwamba alikuwa anaunga unga tu maana kauli ambayo aliiongea miezi kadhaa nyuma ilikuwa tata zaidi ya aliyoongea Jana na katika kujaribu kukanusha ya nyuma na kuweka ionekane vizuri akahisi Jana ndio kajaribu kuweka sawa...
  14. Geechie

    Kiburi kinachelewesha maendeleo jiji la Mbeya

    Alienzisha huu Uzi sio yule wa mjengoni aliesema kuwa "waliosema sio ndio wameshinda" maana maandiko yake kama anapima upepo je gia zake zinakubarika au LA,uzuri anakula za USO mpaka sasa naona.
  15. Geechie

    Huyu ndiye alisema kikokotoo kipya kina manufaa kwa wastaafu, hakika kuiunga mkono serikali hii lazma na wewe uwe kichaa

    Vipi kuhusu yule Dogo anaependa kusema taarifa mwenyekiti,aliepewa kiti kama rambi rambi Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Geechie

    Thamani ya chupi yako. Ilinde chupi, imebeba maagano, imebeba laana, imebeba baraka, imebeba mapepo

    Mkuu mshana hongera kwa bandiko murua kabisa alielewa ameelewa asietaka kuelewa wacha afanye anachokiamini ila umepiga angle zote kwa uwiano. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Geechie

    TCRA naombeni majibu haya kabla ya kuhitaji alama za vidole za kila mmiliki line, je technology ya kisasa imewashinda?

    Kinachotokea kila kampuni ya simu itakuwa na database ya fingerprints zake maana wengine tuna line karibu tano kila moja na kazi zake inamaana itakulazimu kupita maduka yote kuchukua fingerprints jambo linaloonyesha hii mifumo wala itakuwa haifanyi integration na TCRA ilihali wangeweza tumia...
  18. Geechie

    Watanzania waliopo nje ya nchi watapataje vitambulisho vya Taifa?

    Kwa kutumia smartphone tunazochat nazo humu au PC zetu nadhani tunaweza pata majibu ya kero zetu kwenye website ya mamlaka. Kuhusu namna ya kupata namba ya utambulisho Mpaka nakala ya kitambulisho chako ambayo utaitumia hata kabla hujapokea ID yako. Nadhani bora tutembelee na website ya NIDA.
  19. Geechie

    Sitosahau siku ambayo tulifika Mbeya saa saba mchana. Njia nzima nilitubu dhambi zangu

    Tuliokulia na kusoma shule za mbeya miaka ya 90+ hatushangai muda huo japo nahisi inaweza kuwa labda ilikuwa SAA nane na dk kadhaa ila yote kwa yote enzi hizo mabasi kufika mbeya SAA Tisa kasoro na kuendelea lilikuwa jambo la kawaida moja ya sababu ni mabasi yalikuwa scania mashine au Volvo kama...
Back
Top Bottom